Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

Chalamila alijaribu akaona mkono wake uko hatarini kuungua.
Chalamila and the likes they are just insects ...wamenyamazishwa papa la mapapa ..rostam..yatakua hayo vidagaa 😂 ..kila kitu kitawekwa wazi..ukombozi huja kwa kusikia unaposikia inaenda akilini na hizi video na audio zitaishi hata watoto wetu watakuja kusikia na kutazama
 
inasemekana alifika hapo alipo kwa mambo ya ULOZI yeye alishawahi kuukumbatia ule mbuyu pale oysterbay nchana kweupe akiwa uchi kabisa. hata wachina wa Mwendokasi ilibidi waukwepe. mchawi sana wasira
Naamini kila kitu kuhusu yeye, huoni sura yake tu ilivyo?
 
Back
Top Bottom