Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

MMmhhjj!!! Haya maneno ni ya jazbaa ila jamaa anayaongea kwa hasira iliotulizanaaaaaa kama ya kawaida vile ila ni maneno ambayo yana kila sababu ya kumfanya anayeyaongea awe mkali
 
Mze Wasira ni mtu wa hovyo mno, bungeni kazi yake ilikuwa ni kulała tu huku akijamba hovyo na kutokwa na miudenda tu, kwa siku pale Dodoma alikuwa analala na machangu wawili huku akiwa hana lolote la maana analochangia kwa ajili ya wananchi wake. Mze Wasira ni mnafiki wa asili kama Mżę Makamba na ndiyo maana CCM wanamtumia.
 
Naona anawasha moto kwa stages huku wananzengo wakikoleza kuni mitandaoni, baadhi nguo zimeanza kuungua nyeti zimeanza kuonekana. Let’s keep watching.
 
1756961797685.png
 
Mze Wasira ni mtu wa hovyo mno, bungeni kazi yake ilikuwa ni kulała tu huku akijamba hovyo na kutokwa na miudenda tu, kwa siku pale Dodoma alikuwa analala na machangu wawili huku akiwa hana lolote la maana analochangia kwa ajili ya wananchi wake. Mze Wasira ni mnafiki wa asili kama Mżę Makamba na ndiyo maana CCM wanamtumia.
inasemekana alifika hapo alipo kwa mambo ya ULOZI yeye alishawahi kuukumbatia ule mbuyu pale oysterbay nchana kweupe akiwa uchi kabisa. hata wachina wa Mwendokasi ilibidi waukwepe. mchawi sana wasira
 
Polepole masikini uso umempauka kwa kujitia presha. Kusha ona hakuna anaempa heshima Tena.
Rudi kwa mama umuabgukie miguuni upate radhi. Vinginevyo ni uchizi tu
 
Shida yako unafikiria kuwa kila aliyrfanikowa lazima atokane na rushwa na ajira za upendeleo.
Umepotoka
 
Back
Top Bottom