Rafikikabisa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 252
- 47
Jina: Diodorus Kamara
Jimbo: Nkenge
Muda: Miaka 20
Sababu: Hajafanya chochote Jimboni, barabara mbovu, huduma duni, pale Mutukula upande wa Uganda kuna Umeme, Tz vibatari na makoroboi, wakati nyaya za umeme zinapita tu juu. Anapenda sana vimwana huyooo!!!!
Jina la Mbunge:ROSTAM AZIZ
Jimbo lake:IGUNGA
Chama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):MIAKA 16
Sababu za kukataa kurudi kwake:HACHANGII ISSUES BUNGENI
kwa kuwa mie ni mkazi wa ukonga,nilitaka pia Makongoro asirudi bungeni,kwa sababu kama hizo hapo juu mie kura yangu hapati,ameanza kampeni na pati ya kukuaribisha mwaka 2010.wanaukonga tumsurubu huyu, kam vile kumkoma nyani giladi.Jina la Mbunge:Makongoro Mahanga
Jimbo lake:UKONGA
Chama Chake:Chukua Chako Mapema
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Misimu miwil
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Anaunga mkono ufisadi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Ukonga Mombasa kwenda Mazizini na Ukonga Barabara za Banana.
-Angalia maisha ya watu wa Gongo la Mboto yalivyo ya hovyo.
-Hakuwatetea kabisa wakazi wa Kipawa.
-Angalia huduma za afya jimboni kwake zilivyo bomu-hakuna hata hospitali moja ya maana.
Kwa nini achangie wakati wananchi wake wameridhika na hata akigombea atapata tu?
kuna situation zingine huwezi kuzitenga
JIna:Wabunge wote wa viti maalum
Jimbo: halijulikani
Sababu ya Kukataa: hakuna watu maalum tanzania
Unanikumbusha wakati fulani alipokuwa akifanya kampeni mwaka 2005, mtu fulani akasema, si bora hata mke wake angegombea maana huyu jamaa tangu nianze kumsikiliza haonyeshi kuwa na uwezo wa kutuwakilisha. Afadhali hata mke wake akisimama aghalabu unaona matumaini.Jina: Andrew Chenge
Jimbo: Bariadi Magharibi
Chama: CCM
Sababu:
- Ni fisadi anashiriki kuiba pesa za watanzania.
- Hana mchango bungeni, hata kutetea matatizo ya wananchi wake.
- Hakuna alichofanya jimboni zaidi akienda ni kuhonga wananchi kwa kuwanunulia pombe tu wananchi na kuchinja ng'ombe ili wale na kunywa.
- Hajaleta maendeleo yoyote e.g Barabara mbovu masika zinapitika kwa shida, kuhusu afya ndo usiseme, maji wananchi wanakunywa maji ya kwenye mito wanachangia na ng'ombe na mbuzi. Kilimo ndo usiseme hawezi kuhamasisha wananchi kilimo cha kisasa. Ukweli jamaa yuko chini hata kuhamasisha wananchi katika shughuli za maendeleo hakuna
- Muda wote yuko dar. Hawafai wananchi wa bariadi kabisa anachangia wananchi kuwa masikini
Tatizo la huyu jamaa haongei bungeni lakini cha ajabu wananchi wake wengi wanampenda!!!!!!Jina la Mbunge:ROSTAM AZIZ
Jimbo lake:IGUNGA
Chama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):MIAKA 16
Sababu za kukataa kurudi kwake:HACHANGII ISSUES BUNGENI
Jina la Mbunge:RITA MLAKI
Jimbo lake:KWEChama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Vipindi viwili
Sababu za kukataa kurudi kwake:
- HACHANGII ISSUES BUNGENI
-Hatembelei wapiga kura
- Barabara mbovu
- Huduma za hospitali kwa walalahoi ni shida
- Foleni za barabarani asubuhi na jioni ni kero kubwa
- Inasemekana anachangia kusua kwa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya tanki bovu na club ya rainbow
watu wengi wanadhani mtu muongeaji ndiyi anafanya kitu cha maana...kuna wengine siyo watu wa kuongea sana ila matendo yao ni mazuri huko kwenye majimbo yao....siyo lazima uonekane unaongea sanaaaa!.....mtu anayeongea sana ni comedian tuu hajui nini afanye ku make changes.
Rostam achape mwendo
kuongea si ndio karakta ya mwanasiasa?sasa miaka mitano huzungumzi bungeni si ungekaa home tu....kuna miswada ya kuchangia....walionunua ubunge wote mabubu...
Majukumu ya mbunge ni nini kwa uelewa wako?I am sure nusu ya hiyo miaka mitano lazima aliongea..siyo kwamba watu walikuwa bubu kipindi chote cha bunge....kama kuna point muhimu na inamuhusu i am sure wanachangia...inategemea lakini kama hapa jf siyo kila mtu anachangia everywhere lazima kuwa area fulani upo makini......lakini kama hasaidii jimbo lake kendeea hiyo ndiyo sekta muhimu ya ku-dela naye na kuweza kumuangusha kisiasa...maana wanasema don't judge a book by it's cover....
Kuna mtu katoa mfano wa Dewji kuwa yupo bubu bungeni na mwingine kasema lakini he is doing great job katika jimbo lake.....so utamtoa kisa haongei au??