Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,832
- 23,641
Huyo jamaa ni invisible sema nguo zake ndo visible. Lol
hahahhaahahahaha haya bwana ila haijalishi join date yangu humu na katika izi huu sijui ina hashiria nini hahahhahhha loh
kwa kuwa wewe ukobtangu zamani ndo nisijibu uzi wako
SAWA KAMA HIVYO SITAJIBU TENA
LAKINI HAKUNA SEHEM NIMEONESHA ULEGENDARI VINGINEVYO NI KUCHAGUANA HUMU NDANI
kwa kuwa wewe ni GOLD MEMBER WENGINE HATUNA HAKI YA KUKUJIBU SAWA BWANA
aaahhhh, usi poanic, hapo nimemananisha huenda humjui Invisible wa humu kilingeni
Kwani kuna shida gani?Hiyo ni mawazo yangu na wewe ruksa kutoa maoni yako
Usiwe kama CCM wanajadili hoja za UKAWA badala ya kutoa hoja zao!
kama umekatiza UDSM utazikumbuka sifa za mzee PUNCH, mojwapo nni invisibility
I like this, ri moyo rangu rimekuangukia ghafla
ayaaaaaaa, umegonga Ikulu