Nachana nywele mzee, vipi utaniazima hivyo viatu vyako nikauzie sura mjini leo?naona grafani umenyanyua kwapa upande mmoja, kwani weye ni Liver?
Walisema watazipunguza zile ghorofa saba za juu, vipi kazi imeanza?Mkuu na usiache kumpeleka lkulu ili na baba wa inchi amuwoni na pale nje usisahau kumuwonisha ile jumba la ghorofa kubwa linalo karibiana hiyo lkulu
Kumbe sifa ya kuwa bishoo ni kuchana nywele?kwa ulivyo bishoo havikufai