Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,101
- 128,716
Wanabodi
Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni
mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au wanateswa na mfumo dume kwa kuwa na mashaka na uwezo wa mwanamke? Mbona wanamsakama tuu Rais Samia, sijawasikia wakimsakama rais Mwinyi?!, hii inamaanisha kama mgombea angekuwa mwanaume wangepinga?.
Niliwahi kutoa hoja hizi humu kuhusu uwezo wa mwanamke
The real issue ya pingamizi kwa Rais Samia ni nini haswa?.
Paskali

- Pre GE2025 - Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi
- https://www.mwananchi.co.tz/mw/kola...-cha-uwezo-wa-mwanamke-katika-uongozi-4960956
- Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba?. Wajua Rais Samia ni Mwanamke , ni Mama, Kwa TZ ni Kichwa ni Baba?.
- Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
- Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
- Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
- Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii
The real issue ya pingamizi kwa Rais Samia ni nini haswa?.
Paskali