wasiojulikana wafika melbourne, australia!

Safi sana Mwarabu mweusi mwenzetu kututetea sisi kuwa hatufanani kabisa na wakaguru toka Mahenge Moro.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Shindwa kabsa kuna typing error hapo. Nilimainisha asinifananishe na waarabu ninamueshimu nisije mkosea heshima
 
Wangefanyiwa wao sasa ungesikia tunabaguliwa na kunyanyaswa kwa sababu sisi ni weusi na maandamano juu, pumbavu kabisa hao ngozi ya tako

kitu ambacho nimeshindwa kuelewa, wamefikaje huko australia na kuanza kuiba? i mean, australia siyo tu kwamba ni mbali bali pia ni kisiwa ambacho kiko pacific huko na asia na kupata viza ya australia kutokea afrika ni ishu kwanza hata ubalozi tu wa australia nchi nyingi haupo, ina maana kwa logic ya kawaida muafrika anayeweza kufika huko atakuwa na level fulani ya kimaisha na kwa hali ya kawaida hawezi kwenda kupora duka kuiba bia na washikaji, hapo ndipo sijaelewa kabisa, mfano afrika kusini kuna waafrika wengi wanavuka tu boda hata wale vibaka lkn australia, how ? …
 
Inafikirisha kwa kweli maana nina ndoto ya kufika huko ila naona hawa waswahili watatuaribia tunaotaka kufika huko maana wote tutaonekana ni wezi tu
 
Back
Top Bottom