comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,527
- 11,694
Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
Kijana kaivaAu inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Polepole alisema yeye haogopi kudakwa analindwa na Mungu wa mbinguni.
Bob Marley alivyojua haponi cancer yake alilia na kumuuliza Mungu kwa nini anamuua yeye wakati yeye alijiona ameishi kwa peace, love and justice duniani.Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Sijakuelewa
Lengo lake ni sisi tuteseke ?Kwani kazi yake Mola si haina makosa
Mkuu Mimi naamini Mungu yupo Kuna kipindi hao mafala watekaji walinikosakosa kidogo sanaPolepole alisema yeye haogopi kudakwa analindwa na Mungu wa mbinguni.
Halafu kadakwa.
Bado mnaamini Mungu yupo?
Za kuambiwa changanya na zako.
Hizo methali za Kiswahili tu za kujifariji hapa utaambiwa "Haraka haraka haina baraka", kule utaambiwa "Ngoja ngoja huumiza matumbo".Kwani kazi yake Mola si haina makosa
Tatizo unaamini.Mkuu Mimi naamini Mungu yupo Kuna kipindi hao mafala watekaji walinikosakosa kidogo sana
Hii bado ni imani.Subira muhimu.Mawazo yetu si yake.Anatenda kwa wakati wake na wakati sahihi.Matokeo wote tutaona na tutasema Mungu yupo.Angalia psalms 44(majibu yako hapo)
Halafu ni misemo inayopaswa kutumika katika context.Hizo methali za Kiswahili tu za kujifariji hapa utaambiwa "Haraka haraka haina baraka", kule utaambiwa "Ngoja ngoja huumiza matumbo".
Hayo ni maneno ya faraja ya kiutamaduni tu ukipata mtoto mwenye kilema usijisikie vibaya.
Haona maana Mungu yupo.
Mungu angekuwapo hata kazi asingefanya.
Nyuzi za kipumbavu kama hizi mnaleta za nini?Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Ndio ni imani uthibitisho utapata wakati ukifikaHii bado ni imani.
Si uthibitisho.
Sifahamu lengo lake comrade_kipepeLengo lake ni sisi tuteseke ?
Kule Japani watu huwezi kuwambia kuhusu Mungu. Unakuwa unapoteza muda tu.Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Hizo methali za Kiswahili tu za kujifariji hapa utaambiwa "Haraka haraka haina baraka", kule utaambiwa "Ngoja ngoja huumiza matumbo".
Hayo ni maneno ya faraja ya kiutamaduni tu ukipata mtoto mwenye kilema usijisikie vibaya.
Haona maana Mungu yupo.
Mungu angekuwapo hata kazi asingefanya.
Exactly.Halafu ni misemo inayopaswa kutumika katika context.