Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

Tuanze dini ni Nini, Kisha waamini ni wapi baada ya kuzitamb

Dini ni mfumo wa imani, mafundisho, na mazoea ambayo binadamu hutumia kuhusiana na Mungu, miungu, au nguvu ya kiroho, na mara nyingi hujumuisha kanuni za maadili na sheria za kuongoza maisha.

According to google
Kwa hiyo wasio amini ni kama empty set with regard to ulichoandika, kwa hiyo hawana wanchokiamini hivyo hawastahili kuwa kwenye shughuli za mizimu na vinginevyo vya mfano wake!
 
How do live in the society bro 1% of 1000
Society yenyewe ishaanza kuhoji na kutafuta ukweli tangu watoto wanahoji.

Angalia hapa watoto wanahoji, Ustaadhi anawajibu majibu yasiyoridhisha.

Your browser is not able to display this video.
 
Katolika ndo thehebu gan hili
 
Mimi sio mpagani
Naamini katika mungu,
Ila siamini kabisa katika dini
 
Unashindwa kumwamini bwana ako (mumeo)
Unamwamini mhaini wa kiyahudi (bwana yesu)
Inasikitisha sana
 
Malaika hapa umepigaje mzee
Panenka hiyo.
Kristo ni Yesu mwenyewe na ni mwokozi wetu, mimi na wewe
Ukristo ni imani/dini inayofundisha kuhusu Kristo Yesu.
Kristo mwenyewe amesema tutafute kwa bidii kuwa na mahusiano na MUNGU na mapokeo ya dini.

Ndiyo maana kuna watu sio wakristo wanaenda kwa Mwamposa kupata uponyaji na mengineyo kwa kumwamini Yesu kristo.(huenda na hapa nimekuchanganya)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…