Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,488
Achana na mimi narudia tena. Fanya yako.Sawa lakini usituhaibishe sisi.
Achana na mimi narudia tena. Fanya yako.Sawa lakini usituhaibishe sisi.
NIDA hii hii au nyingine tatizo la Hawa watu Sasa hivi wamepoteza kabisa mwelekeo badala yake wanafocus kwenye mambo yasiyo Na tija Na wazi hapa wanatoa matamka haya wakiendeshwa Na siasa kutaka thibiti watu mitandaoni lakini wamesahau kwamba NIDA inauwezo mdogo sana zoezi la vitambulisho Dar tu limesuasua mpaka kero watu wanaandikishwa vitambulisho mpaka Leo hawajapata Na kingine hakuna utaratibu mzuri kwa wale wanaopoteza vitambulisho ama kweli ukianza angalia wengine unapoteza kabisa malengo yako
Sheria za ajabu ajabu ambazo zinawapa mianya watu watafute namna ya kuzivunja ili wanufaike. Hakuna nchi yoyote ile duniani ina sheria ya kipuuzi kama hii!
Kumiliki simu na kitambulisho cha uraia wapi na wapi!!!
Mkuu hold on!Wanata uthibiti!Nikuhakikishie tu Tanzania ni nchi mojawapo yenye mianya mingi ikiwemo mtu mmoja kuwa na laini za simu hata 5!Kitu ambacho nchi nyingine ni jambo ambalo haliwezekani!!Sasa nina uhakika wanaelekea kuanza dhibiti na kufanya kuwa na usawa na kuziba mianya yote inayoweza pelekea uhalifu!Ni hilo tu!
Nawasilisha Mkuu BAK
Mimi nimejiandikisha kupata kitambulisho tangu March 2018 lakini hadi sasa hakijatoka. NIDA waache usanii. Wakamilishe zoezi ndipo watoe matamko kama haya. Kwa nini ichukue zaidi ya miezi 6 kabla ya kutoa kitambulisho?Good
Hahaha Tanzania hiiWanataka kuua makampuni ya simu
Ukiona hivyo uraia wako una utata,Mimi nimejiandikisha kupata kitambulisho tangu March 2018 lakini hadi sasa hakijatoka. NIDA waache usanii. Wakamilishe zoezi ndipo watoe matamko kama haya. Kwa nini ichukue zaidi ya miezi 6 kabla ya kutoa kitambulisho?
Yaan hata Mimi TANGU March hadi Leo... Yaan ubabaishaji mtupu ...hakuna lolote. Au machine YA kuprint IPO moja tu nchi nzima?Mimi nimejiandikisha kupata kitambulisho tangu March 2018 lakini hadi sasa hakijatoka. NIDA waache usanii. Wakamilishe zoezi ndipo watoe matamko kama haya. Kwa nini ichukue zaidi ya miezi 6 kabla ya kutoa kitambulisho?