Wasindikaji na expire date za bidhaa zao

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,772
12,174
Naomba kujua ivi hawa wajasiriamali wa majumbani, mfano wauza ubuyu, mikate, keki,mafuta ya alizeti, Asali etc wanajuaje kuhusu zile expire date wanazochapisha?

Ivi rate of decay calculation huwa wanazijua kweli?

Je hizo expire date zina ukweli gani?
 
Back
Top Bottom