Wasimamizi wa ndoa wana majukumu gani?

Wasimamizi wa ndoa wana majukumu gani?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naona wasimamizi wa ndoa walikuwa wadau muhimu sana katika kurejesha amani ndoani pale kunapokuwa na tatizo.

Ila sasa nahisi mambo yamebadilika sana hasa huku mijini.

Watu wanachagua wasimamizi washikaji zao na mara nyingi ushikaji huu huwa hadi kwenye issues kama uchepukaji.

Yaani unakuta mtu na msimamizi wake ndio wanapeana dili za michepuko mitaani.

Mbaya zaidi baadhi ya wasimamizi wanachepuka na wanandoa wale wale waliosimamia.

Yani hapa hata sijui niulize swali gani.

Changia tu chochote
 
labda ungeuliza hivi...
je wasimamizi wa ndoa huwa wanasimamia ndoa? au wanachangia huiharibu?
 
wasimamizi wa ndoa, kitchen party, etc. Hivi vyote vimepoteza mantiki yake ya awali. Watu wanafanya ilimradi tu bila kuzingatia dhana nzima ya shughuli hizo ni nini, nani azifanye na wapi. Matokeo yake ndo hayo. Kizazi hiki kimejenga desturi ya kudharau desturi za awali hata zile zilizokuwa na maana sana katika jamii
 
Ngoja nimuulize mwana fa aliifanyia nini ndoa ya jide
 
Mbaya zaidi baadhi ya wasimamizi wanachepuka na wanandoa wale wale waliosimamia...!!!

Yani hapa hata sijui niulize swali gani...

Changia tu chochote

Yaani ule kizuri wewe tu! Usiwe mchoyo na uzuri ile huwa haiishi!
 
Miaka ya nyuma kidogo
nilikuwa naona wasimamizi wa ndoa walikuwa wadau muhimu sana katika
kurejesha amani ndoani pale kunapokuwa na tatizo

Ila sasa nahisi mambo yamebadilika sana hasa huku mijini. Watu
wanachagua wasimamizi washkaji zao na mara nyingi ushkaji huu huwa hadi
kwenye issues kama "uchepukaji". Yani unakuta mtu na msimamizi wake ndio
wanapeana dili za michepuko mitaani.
Mbaya zaidi baadhi ya wasimamizi wanachepuka na wanandoa wale wale
waliosimamia...!!!

Yani hapa hata sijui niulize swali gani...

Changia tu chochote

hii tamu sana
 
Siku hizi tunaangalia tunaoendana nao rangi urefu ili sherehe inoge
 
Back
Top Bottom