Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Mkuu Mwiba, nimewasikia mwanzo mwisho!, kuusema ukweli baadhi yao ni vichaa kabisa ila bado hawajaanza kuokota makopo na baada tuu ya kupatikana kwa katiba mpya nakuhakikishia makopo wataokota!.
mhhhh!!!!!!! kazi kwelikweli. Hii nchi hii ni kama haina viongozi
People's Power ipo Zanzibar na inaweza kutekelezwa anytime ,nakumbuka CUF iliwahi kuitisha ila walichokosea ni kujikusanya kwenye makao yao makuu ,kama wangekusanyika Ikulu leo tungekuwa tunazungumza mengine na zaidi kwa wabara kukataa kuungana na CUF katika kuitikia mwito wa kuiangusha CCM kupitia people s power.
Hata CDM niliwahi kuwasikia wakitetea serikali tatu ,wakidai ya Tanganyika ni lazima irudi ,na kama wakitumia turufu hii basi CCM habaki mtu ,usisikie ndugu hakuna kitu kizuri kama mtu kutukuza kwao ,kilichobaki ni uhamasishaji tu ,lakini walio wengi wanaipenda Tanganyika na wanahitaji kujilabu kwa hilo ,..lakini CUF[Lipumba, Mtatiro] wanasema wanataka serikali 3.
..pia ni vigumu kuungwa mkono huku Tanganyika ikiwa utakuwa unamsema vibaya Mwalimu Nyerere. yaani ni sawa na kutegemea Wapemba wakuunge mkono huku ukimsema vibaya Maalim Seif Sharrif.
NB:
..hii video ni ya zamani. ningependa kusikia maoni ya wa-ZNZ baada ya tume kutoa mapendekezo ya mfumo wa serikali 3.
Mkuu Mwiba, nimewasikia mwanzo mwisho!, kuusema ukweli baadhi yao ni vichaa kabisa ila bado hawajaanza kuokota makopo na baada tuu ya kupatikana kwa katiba mpya nakuhakikishia makopo wataokota!.
Kale kakichaa kwa kwanza kanadiriki kumwita yule Mzee , jinsi alivyomuita, hako ka mala ... ka Kinzanzibari ni laana kabisa!. Katakuwa ni kaana haramu kabisa kale!, kalilaaniwa, kaka laanika na hapo kamekuja kumwaga laana tupu. Mlaaniwa huyo laana!, na imuongezekee mara sabaini fii sabaa !.
Pasco
Hivi hawa Wanzanzibar wanajiamini nini huku hawa-trust in uzazi wa mpango!Hivyo visiwa itakuwa ni balaa tupu baadae!
Punjabi Singi!, wewe mesikia yule chagiaji ya kwanja vile mesema kusu Malimu?!. Iko sava?!.Wewe Pasco why you interfere.with Zanzibar affairs, yourself is a cursed one too. Why were you sacked from your duty in TBC.
You should respect them it is their right to be free of the Tanganyika pseudo union Hegemony. You yourself could be that devil incarnate to Zanzibaris.:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
..lakini CUF[Lipumba, Mtatiro] wanasema wanataka serikali 3.