cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
mnaoelewa hii lugha tuambie wanasemaje?
Last edited by a moderator:
duh! iyo lugha ni balaa!!
kumbukumbu nzuri..wakikua wataonyeshwa walivyokua vituko.
Its amazing ni kama wanaelewana kwa kila kitu.Sema huyo wa left anaonekana mbishiduh! iyo lugha ni balaa!!
kumbukumbu nzuri..wakikua wataonyeshwa walivyokua vituko.
This is a good one! Lol!