Kama ilivyo aibu kuletewa vyakula, hata hayo magari, ndege iwe aibu kuomba na kupewa kama msaada huku tuna kila rasilimali ya kununua hivyo.Waislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.
Bila kumtaja Tundu Lissu naona siku nzima unajiharishia.R.I.P Magufuli
Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.
Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomesha watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Dar ,pwani ,Tanga na maeneo yenye idadi kubwa ya waisram imejaa wazee wenye mabusha kisa walikataa chanjo eti wakristo (wazungu ) wameleta dawa ya kuwazuia kuzaa .hawa wavaa kobazi vichwa maji SanaSakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Na tendeWaislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.
Msaliti lazima apigwe kila dakikaBila kumtaja Tundu Lissu naona siku nzima unajiharishia.
tatizo lako shule,usifie hilo bwawa na bado hakuna nafuu yotote mpk sasa kwanza ya gharama kushuka na bado kukatika kwa umeme,tatizo la nchi yetu ni ccm note thatR.I.P Magufuli
Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.
Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Nendeni mpwapwa huko na sehemu zingine dom mkawasaidie watoto wenye utapiamuloR.I.P Magufuli
Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.
Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Kwani sahvi hamna masbogaWaislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha.
Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani