Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Sep 7, 2014 #2 aiseeeeeee
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Sep 7, 2014 #3 Imekuwaje tena Msahana?
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,545 Reaction score 30,108 Sep 7, 2014 #4 Lukansola said: Imekuwaje tena Msahana? Click to expand... Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lukansola said: Imekuwaje tena Msahana? Click to expand... Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Sep 7, 2014 #5 Ashukuru tu difenda imewahi kuja tungemaliza kazi..
leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,716 Sep 7, 2014 #6 Otorong'ong'o said: Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr Click to expand... Ndio nani huyo?celebrity! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Otorong'ong'o said: Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr Click to expand... Ndio nani huyo?celebrity!
baro JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 3,429 Reaction score 5,007 Sep 7, 2014 #7 Aiseee n hatarii unamuiba aliechoka lazima upigwe
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 7, 2014 Thread starter #8 Otorong'ong'o said: Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr Click to expand... hahahahaaaa Otorong'ong'o umewaza nini? ingeshafika jamvini tayari Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Otorong'ong'o said: Inamaana huyo aliyepewa mkong'oto ni mshanajr Click to expand... hahahahaaaa Otorong'ong'o umewaza nini? ingeshafika jamvini tayari
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 7, 2014 Thread starter #9 Lukansola said: Imekuwaje tena Msahana? Click to expand... Lukansola ina maana huwezi kulitamka jina langu au? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lukansola said: Imekuwaje tena Msahana? Click to expand... Lukansola ina maana huwezi kulitamka jina langu au?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 7, 2014 Thread starter #10 leipzig said: Ndio nani huyo?celebrity! Click to expand... leipzig nina alergy na uceleb! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,323 Reaction score 103,594 Sep 7, 2014 #11 Mwizi ni mwizi tu kupigwa apigwe
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,143 Reaction score 13,838 Sep 7, 2014 #12 Hizi hasira zingeamishiwa kwa mafisadi lingekua jambo la maana zaidi kuliko kwa wezi wa kuku na simu.
Hizi hasira zingeamishiwa kwa mafisadi lingekua jambo la maana zaidi kuliko kwa wezi wa kuku na simu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 8, 2014 Thread starter #13 Jast Bleiz said: Hizi hasira zingeamishiwa kwa mafisadi lingekua jambo la maana zaidi kuliko kwa wezi wa kuku na simu. Click to expand... Ni suala la muda tu kuna siku watashindwa kurudi makwao
Jast Bleiz said: Hizi hasira zingeamishiwa kwa mafisadi lingekua jambo la maana zaidi kuliko kwa wezi wa kuku na simu. Click to expand... Ni suala la muda tu kuna siku watashindwa kurudi makwao
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Sep 8, 2014 #14 mshana jr said: Lukansola ina maana huwezi kulitamka jina langu au? Click to expand... Oooh sorry, Mshana, unajua tena mambo ya touch screen haya...
mshana jr said: Lukansola ina maana huwezi kulitamka jina langu au? Click to expand... Oooh sorry, Mshana, unajua tena mambo ya touch screen haya...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 8, 2014 Thread starter #16 Lukansola said: Oooh sorry, Mshana, unajua tena mambo ya touch screen haya... Click to expand... Hahahahaaa ucjali nikajua labda unatumia waragi ndo maana
Lukansola said: Oooh sorry, Mshana, unajua tena mambo ya touch screen haya... Click to expand... Hahahahaaa ucjali nikajua labda unatumia waragi ndo maana