Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Gundua kuwa wengi waliofoji miaka ya kuzaliwa huanzia na mwezi January, huyu naye ni hivyo hivyo!.

Angalizo: Mtu amezaliwa mwaka 1960 anadai ameanza darasa la kwanza mwaka 1966? ... Wakati huo mtoto bila kuwa na miaka saba kamili huruhusiwi kuanza darasa la kwanza.
Hilo andiko lote linaloitwa "wasifu" likichambuliwa kwa mpangilio sahihi utagundua kuwa taarifa yote ni mchanganyiko usiokuwa na maana sana. Ni kama semina/makongamano nayo yamewekwa kuonyesha kuwa kasoma kozi kamili.
 
Back
Top Bottom