mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 815
Kama sijakosea in mbuyuniMwalimu.. alifundisha shule moja na mke wa Magu
Kama sijakosea in mbuyuniMwalimu.. alifundisha shule moja na mke wa Magu
Hii ndio cv??Mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwalimu kitaaluma.
Mama wa taifa kwa kipindi cha miaka 10.
Mwanzilishi wa taasisi ya WAMA iliyojishughulisha na maendeleo ya kina mama katika nyanja tofauti mf. elimu
Mama wa Mh. Mbunge wa Chalinze Mwanasheria Ridhiwani J.Kikwete.
Hii ndio cv??
Mjumbe wa mkutano mkuu CCM
Atakua ameeelwa kaelewa.Una kusaidia nn huo wasifu wake pambana na maisha yako ya mtu muachie mwenyewe na mungu wake.
Nakushauri uende katika ofisi za wakusanyaji na watunzaji wa PROFILE{.........} wakikubali kukupatia basi furahi.Ukiachana na yeye kuwa mke wa rais mstaafu ndg Jakaya Kikwete, mkuu pale WAMA pamoja na kuwa mwalimu kwa wakati fulani lakini wasifu wake hatuna kabisa. Tafadhali mwenye wasifu wake uweke hapa tuweze kumfahamu huyu mtunga sheria wetu, alisoma wapi nk nk.
Hii ni nzuri hasa kujua uwezo wa viongozi wetu. Na nadhani baada ya malalamiko mengi kuhusu kummiss Kikwete naona Magufuli kaona amlete kupitia ubavu wake.
Watz.....acha kabisa ..Una kusaidia nn huo wasifu wake pambana na maisha yako ya mtu muachie mwenyewe na mungu wake.
Kiswahili bora ni kutumia tasfida na visawe vyakeKusema tu mama wa kambo umeona shida sana, mbona mnapenda kushugakoti mambo?
Na wewe uwajue wakupe kaziHapo ndo utakapogundua kuwa na lundo la vyeti sio kupata ajira, bado tuna ile kujuana ndo uajiriwe na hilo halitakaa likwepeke kwa namna yoyote ile
alikua mwalim wa mbuyuni pimary school pale oyestabayMwalimu.. alifundisha shule moja na mke wa Magu
Huyu jamaa ameona watu wengi wameukumbuka utawala wa JK uliojaa utu hivyo ameona awaridhishe watu kwa njia hii. Pamoja na kwamba aliingia kwa mkwara wa kuuaminisha umma kwamba yeye ni bora kuliko aliyepita lakini mwenendo wake umedhihirisha kwamba hatii mguu kwa mtangulizi huyo. Kila kukicha watu wanamkumbuka JK. Huyu jamaa atakapoungana nasi uraiani sidhani kama ataheshimika kama walivyo baadhi ya watangulizi wake.
Watanijulia wapi mie mwana wa mkulima, mie lanijua jembeNa wewe uwajue wakupe kazi
Acha waulize, Huyo Mama yetu amekubali kuteuliwa ili awe mwakilishi/kiongozi wa wananchi, atalipwa na wananchi kwa Kodi wanazolipa. Haendi Bungeni kufanya kazi yake binafsi kwanini watu wasiulize wasifu wa mtumishi wao? Ulichoona cha ajabu ni mini? Au wewe haikuhusu ?Una kusaidia nn huo wasifu wake pambana na maisha yako ya mtu muachie mwenyewe na mungu wake.
Kiongozi lazima aonyeshe busara. Jee akiteua mwendawazimu tunyamaze kwa vile katiba inamruhusu kufanya kama anavyotaka? Usinielewe vibaya, sina maana mke wa JK hastahili lakini kigezo cha uteuzi siyo gender tu.Msiwe waganga wa kienyeji kuguess suess. Unless mniambia aliyeteuliwa hastahili au haruhusiwi kikatiba. Ili mradi kigezo alichopewa Rais ni kimoja tu gender- labda na umri basi muacheni afanye kazi yake!
mbuyuni shule ya msingiMwalimu.. alifundisha shule moja na mke wa Magu
Mkuu Kihava, JK alitukanwa sana mpaka akaitwa Vasco da gama. Aliitwa mpole na majina rundo ya aina hiyo.
Labda ni kwa sababu JPM kaziba mianya yote ndio maana hata yule "mbaya" wa zamani, leo hii anaonekana mwema.