Wasifu wa Mama Salma Kikwete

Wasifu wa Mama Salma Kikwete

Status
Not open for further replies.
Nashukuru majibu umeyapata tena wamekuambia kistaarabu! Maana wengine ungewasikia weka elimu ya mama mzazi wako kwanza!


Teh teh teh, kwahiyo umeamua kumwambia indirect kwa kua wengine hawajamwambia?nimeipenda
 
Nasikia ni mwalimu wa shule ya msingi so atakua na cheti cha ualimu...certificate
 
Ata kama utamkejeli lakini busara na uvumilivu wa huyu mama hakuna kama yeye ukilinganisha na ma first lady wengine na wanawake wengine maarufu, kwani hatujui wengine wameishia kujenga maghorofa kila mtaa,Tanzania ya leo ina wake wachache sana kama huyu wengi ni vurugu tuu
Hivi huyu mama first lady ana kiwango gani cha elimu? nauliza tu!
 
Mama mstaarabu sana.natamani nisikie neno moja tu kwake huhusu babt seya.
 
Ata kama utamkejeli lakini busara na uvumilivu wa huyu mama hakuna kama yeye ukilinganisha na ma first lady wengine na wanawake wengine maarufu, kwani hatujui wengine wameishia kujenga maghorofa kila mtaa,Tanzania ya leo ina wake wachache sana kama huyu wengi ni vurugu tuu

...wapi nime mkejeli? usitake kunilisha mawazo yako!
 
acha povu kama hujui kaa kmya... Elimu ya juu ni level ya grade A ya uwalimu(certificate)

pia ana ukiacha elimu ana ILMU ya madrasa.. ambayo imemuwezesha kuwa mtaalamu wa kusoma Quran kwa ufasaha na ustadi.

Na kutambua nyota!
 
Ni ngumu kujua kwasababu binafsi sijawahi kuhitaji kujua Elimu yake kwasababu ni Irrelevant kwangu
....kwa nini sasa umechangia huu uzi?waache wanaotaka kujua wajue....!
 
Umekumbuka kile kingereza chake wakati wa ujio wa raisi Obama!!!!

Is, is, is, is, no, no, yes!
 
Naamini kama sio MASTER kwa sasa basi atakuwa yupo mbioni kutunikiwa Pdh na yeye ataitwa dr. Salma kwa machago wake kwa wanawake na watoto.
 
Tujitahidi tuwe na heshima, enyi wa chama hicho jifunzeni ustaarabu acheni kujifunza uhovyohovyo.

kuwa undergraduate ina maana unaweza kumuweka form 5 au 6 akafundisha. Mama Salma hawezi. Hell no! My 10 yrs daughter has better grammar and structure than her! Hell nooo! Siyo material ya kupata degree
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom