Kamawewe
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 537
- 526
Sasa umeuliza ili iweje au unataka kumuajiri? au lipi alilofanya linalokulazimu ujue kiwango chake cha elimu? Ki ukweli mimi binafsi katika familia nzima ya President na watu wengine maarufu huyu mama mimi sina wa kumfananisha nae kubali kataa huu ndio ukweli Mungu amempa hekima na busara vinginevyo tungeaibika Tanzania
...wapi nime mkejeli? usitake kunilisha mawazo yako!