Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Halafu ninyi ni wanafiki sana. Mh. Rais mwenyewe hajawahi mbana Rais Mstaafu hata mara moja hata mara mija pamoja na mapungufu kadhaa. ikiwa pamoja na kuwaacha watu wafanye wanavyotaka wakadhani kuwa ndio ur=taratibu wenyewe!Huyu jamaa ameona watu wengi wameukumbuka utawala wa JK uliojaa utu hivyo ameona awaridhishe watu kwa njia hii. Pamoja na kwamba aliingia kwa mkwara wa kuuaminisha umma kwamba yeye ni bora kuliko aliyepita lakini mwenendo wake umedhihirisha kwamba hatii mguu kwa mtangulizi huyo. Kila kukicha watu wanamkumbuka JK. Huyu jamaa atakapoungana nasi uraiani sidhani kama ataheshimika kama walivyo baadhi ya watangulizi wake.