Wasifu wa Mama Salma Kikwete

Wasifu wa Mama Salma Kikwete

Status
Not open for further replies.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Hivi huyu mama first lady ana kiwango gani cha elimu? nauliza tu!
 
anza kuweka kiwango cha elimu cha mke wako kwanza.

acha povu kama hujui kaa kmya... Elimu ya juu ni level ya grade A ya uwalimu(certificate)

pia ana ukiacha elimu ana ILMU ya madrasa.. ambayo imemuwezesha kuwa mtaalamu wa kusoma Quran kwa ufasaha na ustadi.
 
Hivi huyu mama first lady ana kiwango gani cha elimu? nauliza tu!

ana cheti msingi grade III-A special kwa kufundishia shule za msingi.

an. cheti cha English course alichopata mwaka 2006 cha miezi mitatu kwa ajili ya kuzugia kitaaa ngeli.
 
...kwani hajapewaga phd ya heshima.nahisi alisoma BED ya open university...
 
Nashukuru majibu umeyapata tena wamekuambia kistaarabu! Maana wengine ungewasikia weka elimu ya mama mzazi wako kwanza!
 
Alitoroka mafunzo ya Diploma Chuo cha Ualimu Morogoro
Ya nini kuumiza ikiwa Mungu ameshakupa maono kwamba you'll soon be The First Lady.....huko mavyuoni ni kuongeza mtandao tu wa watu watakaojifanya wanakujua wakati wanakusikia tu!!
 
Nampenda sana huyu mama!
Mama-Salma-new.jpg

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom