Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

Enzi za mzee wa privatization alikuwa ni Frontline kitengo.. product ya Mpanda kwa mizengo hii.
 
Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku

Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Aaaah . . kumbe, i believe spin doctors wa siasa za Tanzania wameshajua tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom