Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,621
- 39,992
Kweli ni Mbembe, lakini anatokea Katavi. Ni mtu wa katibu sana na Mizengo Pinda. Amewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Nkasi kwenye utawala wa Jk kabla ya kuhamishiwa Monduli Magu alipoingia madarakani. Ana kiwango Fulani cha busara ila ni mwoga kufikia maamuzi. Ni msikilizaji mzuri na labda Arusha itatulia maana si mtu wa maonesho.Mbende kutoka Rukwa