Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.

Kimanta.JPG
 
Hahahahaa hamna kitu

Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku

Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja

Teh pale ni makao makuu ya EAC.. figisu zote zinachezewa pale. Ni kama Brussels.
 
Hahahahaa hamna kitu

Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku

Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Utali, biashara za madini etc
Kuwa mkuu wa mkoa huko Inabdi uwe chuma kweli
Ila Rc Mpya anaonekana atamudu
Sema anaonekana ni mtu wa kitengo kitambo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaa hamna kitu

Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku

Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Arusha watu wana jielewa. Ntibenda kwakweli aliiwezea Arusha. Amani na utulivu uliopo Arusha uli letwa na huyu baba. Fitna za Gambo kutamani madaraka zika muondoa baba wa watu. Gambo akaja kuvuruga baada ya kuaminiwa na baba
 
Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.

Huhitaji kuwa na Saikolojia Kubwa mno kama ya Wabobezi kuweza kujua Mhusika ni Mtu Maalum na amewekwa hapo kwa Kazi hiyo Maalum pia.
 
Mzee mzima leo ameunguruma na tatizo kubwa imeonekana ni Mrisho Gambo hasa kuhusu hoja ya eneo la msikiti na kwenye lile eneo la shule ambalo walikuwa wanabishana huku Mkurugenzi akisisitiza kuhusu kujenga ghorofa huku mkuu wa mkoa akitaka watafute eneo lingine (Mkuu wa kaya kiaina amekwenda kinyume na hoja alizokuwa anasisitiza mkuu wa mkoa)

Lakini pia hata mzee wa nyungu nae amehimiza kuhusu wakuu wa mikoa kutowabemenda wakuu wa wilaya yaani wawape nafasi pia kitu kinachoonyesha hakukuwa na mshikamano baina yao lakini pia huenda mkuu wao kuna vitu alikuwa anavilazimisha vifanyike
 
Back
Top Bottom