mkokotoaji
Member
- Nov 26, 2013
- 54
- 10
nyumba ntobhi ni mwanamke kumuoa mwana mk e mwenzake
Kamanda Mwita Maranya hii ni kitu gani huko kwenu?
Acha uongo wewe.......si kweli, labda mzumbe kaenda mwaka huu. Ni nesi alikuwa Mwanza Halmashauri akawa anadanganya watu ni Daktari, lkn ni mganga njaa anayeweza kununuliwa hata kwa bei rahisi, hana kipato
Wewe jamaa kweli mwehu,nakueleza ni spika wa bunge wa chuo kikuu mzumbe tena ni classmate wangu,mwezi wa saba mwakani anamaliza degree yake ya BHSM. Sasa unachokataa nini hapo,wewe kama unachukuki nae binafsi sema, lakini kwenye ukweli sisi tunasema.
Huyu bwana hapa chuoni ni maarufu sana, alikuwa anataka kugombania uraisi mwaka 2012 lakini alifanyiwa mizengwe kwasababu ya u-cdm wake,na kama ungefanikiwa kwenye mchujo, lazima angekuwa rais wa MUSO(Mzumbe University Student Organisation).
Anasoma yale masomo ya tuition nini? kwa taarifa yako namfahamu vyema na unayekoment itakuwa ni wewe mwenyewe Nyakarungu hata andika yako ni ile ile. So kataa, hujawahi kuwa nesi? ama niweke picha zako ukiwa nesi?
mwadilifu n baba yako aka ayatollahNani HUYO WILBROAD SLAA??
Dr.W.Slaa Amevurugwa huyo,we mwache aendelee na sarakasi zake,
Umemshinda uadilifu kwa mungu wake atauwezea wapi uadilifu ndan ya chama chake na kwa watanzania??
Ukiona mtu kazi ya mungu imemshinda kisha anahubiri kuiweza kazi ya mwanadamu ujue ni mwongo na mnafiki,
Slaa mfikishie salam AYATOLLAH MTEI YA KWAMBA NCHI HII KATU KAMWE HAIWEZ KUONGOZWA KWA FALSAFA ZA UKANDA UDINI NA UKABILA,
TUNALIPENDA SANA TAIFA LETU
Kama anatokea musoma ni mtoto wa nyumba ntobhu kama jaji werema,
Asante mdau, nimeongeza elimu pia kumbe mila hizi zipo kwa wenzetu? Duuuuu! Hatari tupu, na kweli inachochea kuzaa watoto tena wengi wakati hajaolewa maana anajua ataenda kuishi "nyumba ntobhu"
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ndiyo Ujue kuwa njaa mbaya huwa inaleta Strategists wengine wanatokea toilet.....
Can u prove ur idiotic comment?
Nani HUYO WILBROAD SLAA??
Dr.W.Slaa Amevurugwa huyo,we mwache aendelee na sarakasi zake,
Umemshinda uadilifu kwa mungu wake atauwezea wapi uadilifu ndan ya chama chake na kwa watanzania??
Ukiona mtu kazi ya mungu imemshinda kisha anahubiri kuiweza kazi ya mwanadamu ujue ni mwongo na mnafiki,
Slaa mfikishie salam AYATOLLAH MTEI YA KWAMBA NCHI HII KATU KAMWE HAIWEZ KUONGOZWA KWA FALSAFA ZA UKANDA UDINI NA UKABILA,
TUNALIPENDA SANA TAIFA LETU
Jaji werema alisema anaevaa nguo za mamako ndiye baba yako, hizi ni akili za watoto wa nyumba ntobhu maana baba yao huwa ni mwanamke na wanawake huvaliana nguo.
.....Hauja zipata hizo details?nimeamua kuungana na nanyi katika kujibu hoja hii huyu jamaa hana cheo chochote ndani ya chama ila alikuwa mpiga kampeni kumuunga dr slaa uchaguzi ulopita kwa sas ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu hapo mzumbe university morogoro tunamfahamu fika kwa hulka ya usaliti na kigeugeu hatushashangai sana coz mm ni mtu mmoja kati ya watu ninae mfahamu toka mwaka wa kwanza na kwa kifupi jamaa ni anasoma health service managment ni spika wa bunge wa serikali ya wanafunzi asiyeweza kutumia nafasi yake kwa kuendleza falsafa za uoga na siyo mFANISI MZURI KATIKA UTENDAJI WAKE PIA ANADAIWA KUTUMIWA NA MAGAMBA KUISALITI CHADEMA MORE DETAILS TUTAZIWEKA HAPA