David Jairo
New Member
- Sep 13, 2011
- 3
- 0
Kwa hiyo wote wanaotokea Musoma ni watoto wa nyumba ntobhu.??? HUU NDO UKABILA ULIOSABABISHA KENYA WACHAPANE,, by the way,,nyumba ntobhu ni sehemu ya mila na tamaduni zetu. Hatuoni haya kwa hilo,,,sisi sio wafuata mila na tamaduni za kigeni.
USIMPIME MTU UWEZO WAKE KUTOKANA NA KABILA LAKE AU TAMADUNI ZAKE...ELIMIKA JITAMBUE,,,SITAKI HATA KUJUA WEWE KABILA GANI AKILI ZA MATOPE
Acha uongo wewe.......si kweli, labda mzumbe kaenda mwaka huu. Ni nesi alikuwa Mwanza Halmashauri akawa anadanganya watu ni Daktari, lkn ni mganga njaa anayeweza kununuliwa hata kwa bei rahisi, hana kipato
Anasoma yale masomo ya tuition nini? kwa taarifa yako namfahamu vyema na unayekoment itakuwa ni wewe mwenyewe Nyakarungu hata andika yako ni ile ile. So kataa, hujawahi kuwa nesi? ama niweke picha zako ukiwa nesi?
Tumesikia kelele, jiwe limerushwa gizani naona limekupata mkuu, pole sana kama vipi tuambie wewe ndiwe weremæ? au unatokea kwenye hiyo nyuma, tutajie na kachumba.
eti anatoa agizo kuwa Chadema wawarudishie vyeo akin a zito ha ha akakakurya kamgumu kumbe no kaajabu Sana akajui kuwa ndo kanazidi kuwaharibia Hawa wasaliti?
kwani kumsifia kikwete we unaona ni tatizo? Ulitaka CHADEMA isifiwe kwa kila jambo? Hii nchi ina vilaza wengi sana. Think "big"....
ukabila huanza hivi hivi,,haya si mambo ya kuchekesha,,ni ya kukemea. Tusigawane au kunyoosheana vidole vya ukabila. Ni hatari sana watu wanapobeza tamaduni za wenzao ndani ya nchi hiyo hiyo..hatari sana.
mkuu kumbe werema ni wa nyumba ntobhu?Kama anatokea musoma ni mtoto wa nyumba ntobhu kama jaji werema,
Nyakarungu ni Mganga Njaa fulani nishawahi kumuona pale New Africa Hotel wakiwa na Mwigulu Nchemba. asubuh saa mbili ananunuliwa chai na Mwigulu na Alikuwa amevaa open Shoes zenye soli iliyo isha halafu kachomekea suluari nyeusi na Flana ya zambalau. Kwa upande wa Chadema hana Cheo ila yawezekana ni mchumia tumbo tu kwani amekuwa aggresive na Chama ili upande wa Pili apate cha kutafuna si unajua wanafunzi wengi watoto wa wakulima huwa tuna njaa sasa tukifika mjini tunaona Siasa ni chanzo cha kitoweo wakati kuna wengine wanafanya siasa kama dhana ya ukombozi ila kwa Nyakarungu ni kula kulala. Pia Nyakarungu ni Msukuma wa Mwanza Mzazi wake yupo Nyangige hana hata kumi ila Mwigulu akimtiaga hata buku 20 anajitahidi sana walau amtumie ding ake buk jero ili wapate kula. Pia Nyakarungu ni Kijana anaye soma chuo cha Mzumbe na sio Chuo kikuu so hata uwezo wake wa kutafakari mambo mdogo sana ni sawa na Habibu Mchange kijana mwizi wa Simu iliyesoma UDOM. Pia Nyakarungu ni kijana anayejipambanua kama proggressive kumbe si kweli kwani akipata Boom au posho ya Bodi ya Mikopo anashinda kwenye starehe na hoteli kubwa na akina Juliana Shonza kwani hana kazi zikiisha anarudi Moro.
Huo ni wasifu wa Nyakarungu kwa Ufupi Mkuu samahani Sijaweka Picha zake hapa jamvini.
Kwa hiyo wote wanaotokea Musoma ni watoto wa nyumba ntobhu.??? HUU NDO UKABILA ULIOSABABISHA KENYA WACHAPANE,, by the way,,nyumba ntobhu ni sehemu ya mila na tamaduni zetu. Hatuoni haya kwa hilo,,,sisi sio wafuata mila na tamaduni za kigeni.
USIMPIME MTU UWEZO WAKE KUTOKANA NA KABILA LAKE AU TAMADUNI ZAKE...ELIMIKA JITAMBUE,,,SITAKI HATA KUJUA WEWE KABILA GANI AKILI ZA MATOPE
Acha ujinga mura, nani hapo kasema wote watokao mara ni nyumba ntobhu? Kuna mila za kipuuzi sana ambazo zipo huku mf ukeketaji na kurithi wajane ikiwemo na hyo nyumba ntobhu kwa hyo wote wanaokemea ni wakabila? wacha kujitoa ufahamu. Kamakweli unajielewa weka maana ya nyumba ntobhu hapo chn wenye akili waone kama ni mila nzuri au matope kama wewe.
Kama anatokea musoma ni mtoto wa nyumba ntobhu kama jaji werema,