Hiyo gari ni ya Lemma. kaipata baada ya kuchaguliwa mbunge. Je keshapata mshahara wa kuweza kununua gari kali kama hiyo? Number plate yake ni LEMMA 01 NA. Je Tanzania inaruhusiwa kuwa na customized number plate kama hiyo?
Msela nilikutana naye zamani kidogo alikua anazuga kama fundi computer maeneo ya cafe la aziz. Kwa hiyo jamaa ni hustler wa ukweli na anapenda kitu cha Arusha.
Anyway, Ni Mbunge wangu, nampenda, nilimpigia kura na nitampa support wakati wowote akihitaji ingawa siku hizi haudhuriagi pande za riverside tena.
Kaka yake alimletea kama zawadi na ndugu zake wengine kutoka Namibia,sina hakika kama inaruhusiwa but najua inalipiwa hiyo plate no.Lema ni mfanyabiashara wa madini,hilo la fundi computer labda alikuwa anafanya kama hobby akisubiri wateja..............lol
mbona hamkushangaa hata kabla haja pokea msharaha akatoa trekta ili liwasaidie wajane (wa Arusha) na bado kuna ambulance 2 zinakuja.Hiyo gari ni ya Lemma. kaipata baada ya kuchaguliwa mbunge. Je keshapata mshahara wa kuweza kununua gari kali kama hiyo? Number plate yake ni LEMMA 01 NA. Je Tanzania inaruhusiwa kuwa na customized number plate kama hiyo?
Msela nilikutana naye zamani kidogo alikua anazuga kama fundi computer maeneo ya cafe la aziz. Kwa hiyo jamaa ni hustler wa ukweli na anapenda kitu cha Arusha.
Anyway, Ni Mbunge wangu, nampenda, nilimpigia kura na nitampa support wakati wowote akihitaji ingawa siku hizi haudhuriagi pande za riverside tena.
Heshima kwako Michelle,
Kwanza naomba nikupongeze kwa kujaribu kupotosha jamvi najua si kosa lako bali ushabiki uliopitiliza ambao sasa umekuwa sehemu ya utamaduni wa kizazi chetu pengine kwa kupenda au kuendekeza ushabiki usio na mashiko.
Najua wapo great thinker kibao lakini linapokuja suala hasi kuhusiana na CHADEMA utashangaa akili zinawekwa kwapani.
Bibi/Bwana Michelle umedai Mheshimiwa Godbless Lema kasoma IAA Advance Diploma HRM huo ni uongo wa mchana kweupe IAA hawatoi cource ya HRM.IAA walikuwa wanatoa Advance Diploma za Accounting,Banking & Finance,Procurement & Logistics Management,Economics & Finance,Business Management,Computer Sciences and Information Technology cources zote hizi zimebadilishwa kutoka Advance Diploma na kuwa Bachelor.Inashangaza sana umeweza kujua Lema ana watoto wawili,ni mmachame na jina la mkewe lakini chuo alichosoma huna uhakika ?????.[/SIZE]
Mheshimiwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini hakuna haja ya kuendelea kuudanganya umma juu a elimu yake sijui kwa faida ya nani !.Kura zake zilitosha wengi walimchagua great thinker wanajua sababu za ushindi wa wabunge wengi wa CHADEMA Pasco aliwahi kutoa bandiko lake kipindi cha ufunguzi wa bunge binafsi nilikubaliana na hoja zake.
Mheshimiwa Godbless Lema kasoma Kibohehe hadi kidato cha pili [form two] machilii wa Arusha wana msemo "hakutoboza kidato cha nne".Wapigakura wengi wa Arusha hawakutilia maanani suala hilo ndiyo maana ni mbunge haijalishi unapenda au umechukia.CV za wagombea ubunge wa jimbo la Arusha nilizitoa kipindi cha mchakato wa uchaguzi ya Lema ilikuwepo wapenzi wengi wa CHADEMA hapa jamvini walisoma na wanajua ukweli umesimama wapi.Haishangazi hata kidogo kusoma kejeli na maneno ya dharau unapozungumzia suala baya kuhusiana na CHADEMA.
Wapo wabunge wengi wa bunge la sasa ambao CV zao ni ndogo kuliko Mheshimiwa G Lema eg Professor Maji Marefu na Mbunge wa Rorya tofauti yao na Mheshimiwa Godbless Lema ni moja wao wamekiri hadharani mbele ya wapiga kura wao juu ya elimu yao.katiba ya JMT inamtaka mgombea ubunge ajue kusoma na kuandika [kiswahili] sifa ambayo Lema ameifkia na kupitiliza sana sioni sababu za kuudanganya umma.
Matukio ya maandamano na mauaji yaliyotokea Arusha hayana uhusiano na ujasiri wa Mheshimiwa Godbless Lema hata kidogo matukio hayo yana uhusiano na uzembe,ukatili na ubaradhuli wa watawala wanaotumia [vikaragosi] jeshi la polisi kwa faida za kisiasa bahati nzuri matukio haya yamegeuka mwiba usiosahaulika kwa chama tawala wanajua hukumu yake itakuwa nini pindi wananchi watakapopata fursa ya kuchagua wawakilishi wao.Mheshimiwa Godbless Lema kubeba jeneza la wahanga wa maandamano aliyoyaitisha yeye ni sehemu ya wajibu wake kama asingefanya hivyo dunia ingemshangaa,wapo wengi waliobeba majeneza na bado tutabeba majeneza ya ndugu zetu,jamaa na majirani tusisahau majeneza yetu pia hayatakosa wabebaji.
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya HR pale IAA
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
Na hao ndo viongozi haswa wanaohitajika Tanzania ya sasa maana tumechoshwa na viongozi wasomi halafu majizi au viongozi wa kurithishana dizaini ya kina January Marope.Mtoto wa mjini aliyekulia mjini mpaka kanyoosha maisha yake kwa Utapeli au Usanii kama Lema na Mr Sugu ndo hugeuka kuwa strong leaders maana wanakuwa na strong emotions kuface real situation waliyoiona na kuiishi.January makamba aliwai kupata shida gani katika maisha yake akiwa bumbuli mpaka kuweza kuwasaidia wana bumbuli kama si utapeli unaouzungumzia kwa Lema.Chaliii angu mi sidanganyiki ati.shauri ako wewe.godbless lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana arusha.
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
I agree with you, just like the entire ccm gang, maana ccm is no longer a party bali gang la wanasiasa who have turned to be gangsters, blood suckers
Umesomeka vyema, usiumizwe kichwa na mtu kama Ngongo juu ya Lema huyu jamaa anachuki binafsi na Lema tangu siku nyingi alikuwa akimpigia kampeni mjinga mmoja huku akijaribu kumpaka matoke Lema na huwa anajitokeza hasa yanapotokea mambo ambayo anaweza kwa akili yake hudhani ataweza kupenyeza sumu juu ya Lema...Huyo chizi hapo juu kanipa hasira sasa nimemuuliza mwenyewe,
ADVANCED DIPLOMA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT-Cambridge International College/University(nilikosea nikasema IAA)
BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION-Bado anasoma hapo hapo Cambridge International University
Certificate ya Effective Management of Leadership-from Cambridge International University
Na wakti huu yuko anafanya mitihani kwa ajili ya course ya Project Management
Huko Kibohehe hakukuwa mwisho wa elimu ya Godbless Lema,sasa wapigie huko Cambridge wakuambie..................:car::car::car:
Katika post yangu nimesema sina uhakika,sasa ungeuliza kwa nini nilisema hivyo,pengine mkewe alisema hivyo,mi nikusikilize wewe au yeye?Mi si shabiki wa CHADEMA,umekurupuka tu hata kunisoma bado hujanisoma vizuri,mimi namfahamu Lema na ndo maana hayo mengine nayajua,kwenye hilo nilisema kabisa sina uhakika,that means correction was acceptable,so usinite muongo while i made it clear..........Na najua Lema ana dada yake hapa,nilitegemea azungumze hilo alipokuwa anajibu hoja za watu ka wewe hajaliweka sawa...................sasa,ukome kurukia mambo,sina sababu yeyote ya kumpamba Lema....maelezo mengi,upupu tu.....................unajidai unamjua Lema na hapaswi kupongezwa unajua hao unaowaita watawala walimuombaje awakane watu wake na kusisitiza wasifanye maandamano,ushujaa ni kuwa aliwasikiliza wanyonge na akasema LET THE VOICE OF THE VOICELESS BE HEARD,uwe unanisoma vizuri si kuja na maelezo mengi yasiyo na msingi,ungesema tu pale kwa elimu ni KIDATO CHA PILI,haimshushii lolote yeye atabaki kuwa mbunge mwenye malengo sahihi na watu wake.
You are sick!!!!!
Huyo chizi hapo juu kanipa hasira sasa nimemuuliza mwenyewe,
ADVANCED DIPLOMA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT-Cambridge International College/University(nilikosea nikasema IAA)
BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION-Bado anasoma hapo hapo Cambridge International University
Certificate ya Effective Management of Leadership-from Cambridge International University
Na wakti huu yuko anafanya mitihani kwa ajili ya course ya Project Management
Huko Kibohehe hakukuwa mwisho wa elimu ya Godbless Lema,sasa wapigie huko Cambridge wakuambie..................:car::car::car:
Asante Michelle. nakubali kwamba Lema is a talented leader, visionary, and very determined. he feels the people and delivers for them. Nimefurahi kwamba anajiendeleza kielimu kwa kiwango hicho, najua wabunge kadhaa wa bunge lililopita ambao walisoma baada ya kuwa wabunge na sasa baadhi wanaendelea na ubunge.
mambo mawili naomba umshauri.
1. muombe ajaribu kutumia zaidi kiswahil anapoongea mbele za watu kwani huwa anapotumia tu maneno ya kiingereza katika mazungumzo yake anavunja kweli kweli. Ingawa ujumbe unafika, lakini sasa huwa anawapa watu nafasi ya kuanza kujiuliza maswali baadaye.
2. mwambie asiwatukane polisi. hili ni muhimu zaidi, kwamba polisi wa kawaida arusha ni wapenzi sana wa chadema lakini wana kisasi na Lema kutokana na kuwarushia maneno mabaya anapohemshwa na machalii. akifanikiwa kurudisha urafiki na polisi watamsaidia sana sana kwani hawapendi chadema ihujumiwe.
As long as Lema is with chadema, JF atapigiwa debe tu! its that simple...Sasa ngoja atoke chadema ndio utajua madhambi yake....
CV yake ni chadema