Wapo waliokuwa wakimuona Dk. Mpango kama Waziri wa Fedha. Leo wapo watakaomuona kama Makamu wa Rais....
Umewakuza sana...Syo waziri wa kwanza kufanya hivyo, sema vijana wa siku hizi ndo wanajifanya ni miungu watu
Waswahili wataenda na Swaga za kutaka kumpa dawa ya Libwata.Wapo waliokuwa wakimuona Dk. Mpango kama Waziri wa Fedha. Leo wapo watakaomuona kama Makamu wa Rais...
Wapo waliokuwa wakimuona Dk. Mpango kama Waziri wa Fedha. Leo wapo watakaomuona kama Makamu wa Rais...
Kwani katokea Chadema?Subiri Sasa UVCCM watakavyompandikiza roho mbaya.
Watamfundisha kuchoma wapinzani sindano za sumu badala ya risasi,baada ya kugundua kuwa risasi zao haziui Tena,kwa kuwa zime expire.
Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.
Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??
mchumi yumo mikononi mwa nchiNimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.
Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??