Wasifu wa Deo Filikunjombe

Ni mzaliwa wa Wilaya ya ludewa kijiji cha Luana
Amezaliwa katika familia maskini
babake alikuwa na wake wawili
babake alikuwa anafanya kazi Njombe kabla hajastaafu na kuhamia Ludewa
baba anaishi Ludewa mtaa wa Mji mwema
Deo amejenga Ludewa mtaa wa Ibani
Kwa DSM anaishi kwenye nyumba ya kupanga eneo la mtoni kijichi kanisani
ana mke na watoto wawili

Asante sana mkuu. Ndiyo maana ana uchungu na hii nchi. Anajua maana ya kulala njaa, kula mlo mmoja kwa siku, shida ya huduma za afya, maji, you name all. Huyu ndo kama sisi enzi hizo unaenda shule peku bila hata katambuga. Halafu leo wachache wanatumaliza.
 
Ni mzaliwa wa Wilaya ya ludewa kijiji cha Luana
Amezaliwa katika familia maskini
babake alikuwa na wake wawili
babake alikuwa anafanya kazi Njombe kabla hajastaafu na kuhamia Ludewa
baba anaishi Ludewa mtaa wa Mji mwema
Deo amejenga Ludewa mtaa wa Ibani
Kwa DSM anaishi kwenye nyumba ya kupanga eneo la mtoni kijichi kanisani
ana mke na watoto wawili

Asante kwa nyongeza
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Huyo ndio hata ukimwangalia usoni unajua kuwa anachukia ufisadi!
Anajua manyanyaso ya kazi isiyo na kipato. Anajua uonevu wa umangimeza na anjua ugumu wa maisha.

Wengine wanaotuambia wao wanajua matatizo ya wananchi kwa kupitia sms sijui kama wanasema kweli.
Bora waachie ngazi.
 
Kama wa jimbo letu la Temeke.. Yaani hatuna Mbunge.. Cijawahi kubahatika kumuona akichangia.. Zaidi ya kumuona kwenye sakata la ubadhirifu kwenye vitega uchumi vya jiji.. Juzi nimecikia kapata ajali alfajiri akiwa njiani kurudi Dar.. Wakati wenzie wanaendelea na Bunge yeye anakuja Dar..!

Anaitwa Abas Mtemvu. Alishainda ubunge kwa CCM na CUF walimpa ila hakubaliki kabisa TEMEKE. Hajawahi hata kidogo kushughulikia tatizo la wanajimbo, anakimbizana na kitambi chake tu. Hebu fikiria kwenye jimbo lake one time kulikuwa na mgogoro kati ya wananchi wanaoishi jirani na kiwanda cha serengeti breweries over waste water and smoke pollutions. Kweli alifika baada ya kuitwa na wale victims. Mwishowe akasema atashughulikia na akawapa namba ya simu FAKE!!!! Sijawahi hata siku moja kusikia akizungumzia matatizo yatokanayo na uharibifu wa viwanda vilivyo katika makazi wilaya ya TEMEKE huko bungeni. Anajua anachokipata huko. By the way, alipata ajali, vipi serious to declare jimbo wazi au?
 
Huyo ndio hata ukimwangalia usoni unajua kuwa anachukia ufisadi!
Anajua manyanyaso ya kazi isiyo na kipato. Anajua uonevu wa umangimeza na anjua ugumu wa maisha.

Wengine wanaotuambia wao wanajua matatizo ya wananchi kwa kupitia sms sijui kama wanasema kweli.
Bora waachie ngazi.

ana uchungu na nchi
 
images

Kwa CV hii ametoka mbali, mpaka alipo amepitia machungu mengi ukitilia maanani katoka famili ya kimaskini. Hakuridhika na hatua alizofikia hadi kuamua kufikia hatua ya kujiajiri ili kupata uhuru kamili. Angebaki jeshi la polisi angekuwa kinara wa kupokea hongo.

Ni mfano mzuri wa wasomi kuwa wajasiri mali badala ya kuhangaika huko na huku kuanika Resume kupata ajira. Nimeipenda sana CV yake na wengi tunaweza kujifunza mambo makubwa na kufanya mabadiliko katika maisha yetu.
 
jamaa amethubutu na ameweza namkubali sana kanifurahisha sana aliposikia anaitwa na Lukuvi akaenda kusaini kwanza ndio akaenda kumbe nia ya lukuvi ni kuwapiga bit wasisaini hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.
 
Namkubali kwa hoja zake nyingi, nilianza kumfuatilia bunge lililopita alipokua anachangia ukosefu wa maji Ludewa
 
Jamaa namkubali sana japo me kwetu ni Kisarawe.
1.Alianzisha Umoja wa Vijana toka Ludewa wanaosoma vyuoni hapa Dar na Mikoa ya Jirani.
2.Kila mwaka anatoa pesa yake kuandaa WELCOME FIRST YEAR ya vijana wa Ludewa wanaoanza mwaka wa kwanza vyuoni Dar na Mikoa jirani, watu wanakula,kunywa,live band na mazawadi ya kutosha.
3.Anasaida vijana wa Ludewa kupata makazi na kujikimu wakiwa vyuoni kupitia mfuko wa Umoja wao.
4.Mengineyo wataongeza wanaLudewa, Mdambanyafu na kwenginekoo...
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
Yes you could continue giving us some more clarification.I appreciate someone who works in different places.This shows that the person is competent and also his education speaks.
 
Jamaa namkubali sana japo me kwetu ni Kisarawe.
1.Alianzisha Umoja wa Vijana toka Ludewa wanaosoma vyuoni hapa Dar na Mikoa ya Jirani.
2.Kila mwaka anatoa pesa yake kuandaa WELCOME FIRST YEAR ya vijana wa Ludewa wanaoanza mwaka wa kwanza vyuoni Dar na Mikoa jirani, watu wanakula,kunywa,live band na mazawadi ya kutosha.
3.Anasaida vijana wa Ludewa kupata makazi na kujikimu wakiwa vyuoni kupitia mfuko wa Umoja wao.
4.Mengineyo wataongeza wanaLudewa, Mdambanyafu na kwenginekoo...
kama mwelekeo wake upo hivi,basi hata mimi ningemchagua kwani inaonesha anatembea kwenye maneno yake.
 
Dah, nahisi hii ni bonge la coincidence yaani! Mwenye Mahaba ya Dhati na CCM, akachanganya na jina la mtoa mada (Mwana Mpotevu), kisha vile mtoa mada alivyo deep kuhusu Filikunjombe, ...sio siri, mwenye mahaba huyu anaweza shuku kwamba Mwana Mpotevu ndiye Filikunjombe mwenyewe!!
 
Chama cha Siasa ni kikundi cha watu chenye nia ya kuongoza kwa kutumia katiba. CCM ni chama kikichoundwa kwa kufuata katiba bora yenye misingi ya utu iliyomo kwenye Siasa zenye mtazamo wa Kisoshalisti. Tatizo lilopo kwenye CCM ni Uongozi mbovu unaotokana na mfumo wa kuwapata uliopo. CDM sio " Muarubaini" wa matatizo ya Watanzania bali ni mbadala wa sura na watu walio ndani ya CCM wasio na maadili. Ni makosa kufikira CDM kama Chama bora kuliko CCM kwa sababu ya kuwapima viongozi wake wachache ambao walichokifanya mpaka sasa ni kukosoa tu. Ondoa Mgando wa kimawazo wa kufikiria CDM ndio suluhisho ya matatizo yetu. Fikiri zaidi ya hapo.

Kwa wasio mjua kwa ujirani:

  1. Deo ana huruma
  2. Deo ni makini
  3. Deo Ni mtu anayejua kujipanga
  4. Deo Ni mzalendo
  5. Deo ni mtu anayeweza kufanya maamuzi magumu bia aibu, wasiwasi, wala woga.
  6. Huyu jamaa ni kiongozi, anapendwa na wengi
  7. Ni mtu anayewapenda watu
 
mpenda maendeleo naikumbuka ambulance yake aliwapelekea manda kabla hajawa mbunge. Terano moja ya ukweli. naifahamu ile nyumba yake ipo karibu na secondari ya chief kidulile kabla hujaingia ludewa town.
 
What if he is still working with UWT!

Hajawahi kuwa huko,, ni vijimaneno tu vimekuwa vinaenezwa, take ma words he doesnt belong that side. Ila kwa alichokifanya siku mbili hizi Bungeni nampa big up! naichukia ccm na yeye sikuwa namkubali kwa kuwa mwana magamba but kwa alichokifanya these two days nampa big up sana!
 
Hana sababu ya kuogopa, mchango wake ndio ahadi yake kwa Mungu na Taifa alipokuwa akiapishwa. Mhubiri anasema Ni afadhali usiweke nadhiri, kuliko kuiweka usiiondoe. Aliweka nadhiri ya kutetea Katiba na wanyonge kwa afanyalo anaiondoa nadhiri hiyo, heri kwake atendapo kwa kweli na bila unafiki maana hatakosa fungu lake. Big up Deo
 
Back
Top Bottom