Wasifu wa Deo Filikunjombe

Wasifu wa Deo Filikunjombe

Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
Ingekuwa tunampata kwa kumsajiri, huyu kijana tungemsajiri ili aongeze nguvu kwenye timu yetu- CDM. Hili ni jembe muhimu nyanda za juu kusini, huko alipo sasa hivi kunampotezea sifa ya kuwa mpiganaji wa kweli! Mpiganaji wa ukweli hawezi akakaa ndani ya CCM.
 
Mpambanajiiii....

Bwana Deo hakika umesaidia sana kuonyesha yale ambayo kwa nyanda za juu kusini ni mara chache kutokea.Lakini kwa makamanda wa Ludewa si mara ya kwanza kukomaa.Horace Komba naye alifanya kile ambacho CCM hawapendi kusikia.Hata hao Chipaka ni damu hiyo hivyo.Nimeanza kuvutiwa na msimamo wako.
 
Anaonekana kama mshkaji vile,, ila kwa mtiririko huo bila kusahau Miaka ya KURESEAT atakuwa anakaribia 40..
Kama alikuwa mtundu enzi zake,atakuwa na mtoto, na kama ni binti hvyo atakuwa na mjukuu lazima
 
n i mnafiki kama minafiki mingine ya ccm,inayodhani chama chao kitatawala milele!!
Na sasa anajifanya kufurukuta baada ya kuona nguvu ya cdm hashuki!

alianza vibaya kwa kuwaropokea wapinzani hasa cdm, kweli kaona upepo unawaelekea vibaya, kaona abadili uelekeo.
 
Ingekuwa tunampata kwa kumsajiri, huyu kijana tungemsajiri ili aongeze nguvu kwenye timu yetu- CDM. Hili ni jembe muhimu nyanda za juu kusini, huko alipo sasa hivi kunampotezea sifa ya kuwa mpiganaji wa kweli! Mpiganaji wa ukweli hawezi akakaa ndani ya CCM.

angesajiliwa kama Fabregas??? aaahahahaha
 
Mh Deo ni jembe kali, ole wenu ccm mkimvuruga atarudi bungeni via peoplez power
 
big up wanaludewa tupo nyuma yako. wakikusumbua ccm siyo mama yako wala baba yako. kaza but safari bado ni ndefu
 
deo unatakiwa upeo heshima na chama chako ccm....maana umedhubutu na umeweza kutoa live maneno ya ukweli kuwa mawaziri wengi ni wezi....huyo lukuvi ni mjinga namba 1 ....hajui nchi inaenda wapi....jinga sana lile zee...litapigwa mawe mtaani likipita.....linataka kukunyamazisha wakati data linazo...tatizo la viongozi wa ccm wanafikiri nchi ni yakwao.
 
Tofauti na siasa, huyu jamaa ana entrepreneurial spirit ya hali ya juu. Nimemkubali. Keep it Up Deo. Nail em Up

Licha ya hayo yote, Deo akiwa Jeshi la Polisi alifundishwa kukusanya habari za vitani na siyo za mitaani, Ni mtu makini na anajua anchokifanya kwa LEO na Baadae. Pindi anakazi ya ziada. Namshauri Aachane na Jimbo la Ludewa. Kwa Ushauri: Akishawishi CCM kugawa Jimbo ili apate Jimbo lake. Ila Napo ni shghuliiiiiiiiiiiiii.
 
Mimi mwenyewe muumini Wa mabadiliko lakini deo ni mtu ambaye bado alikua anatakiwa na watanzania kwa uzalendo wake mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin
 
Wandugu huyu jamaa kesha RIP sasa mashambulizi kwa marehemu yanatoka wapi tena?
 
Licha ya hayo yote, Deo akiwa Jeshi la Polisi alifundishwa kukusanya habari za vitani na siyo za mitaani, Ni mtu makini na anajua anchokifanya kwa LEO na Baadae. Pindi anakazi ya ziada. Namshauri Aachane na Jimbo la Ludewa. Kwa Ushauri: Akishawishi CCM kugawa Jimbo ili apate Jimbo lake. Ila Napo ni shghuliiiiiiiiiiiiii.
Mkuu Deo Filikunjombe hatunaye tena ni marehemu. Huu ushauri ungempa kabla hajaaga dunia.
 
Ingekuwa tunampata kwa kumsajiri, huyu kijana tungemsajiri ili aongeze nguvu kwenye timu yetu- CDM. Hili ni jembe muhimu nyanda za juu kusini, huko alipo sasa hivi kunampotezea sifa ya kuwa mpiganaji wa kweli! Mpiganaji wa ukweli hawezi akakaa ndani ya CCM.

Hatunaye tena Deo. Rip Deo
 
More of a businessman.Hana experience ya uongozi.Goodbye Fili.
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
 
Mkuu Deo Filikunjombe hatunaye tena ni marehemu. Huu ushauri ungempa kabla hajaaga dunia.

mkuu alipoandka hyo post iljuwa ni 2012 ilkuwa sawa kwa wakat ule.. nadhan umeona km umefatlia.. Mungu amlaze pema Deo
 
Back
Top Bottom