Wasifu wa Deo Filikunjombe

Wasifu wa Deo Filikunjombe

Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?

Jamaa alikuwa Jembe,Roho Mtakatifu awe mfariji mkuu wa familia yake,ndugu zake,marafiki zake,chama chake&watanzania wote.
 
Tibaijuka hata msahau huyu mtu maisha yake yote mpaka Israel atakapo chukua roho yake..
 
Kiukweli huyo jamaa alikuwa mfano wa viongozi tunaowahitaji ktk nchi yetu haswa kwa kipindi hiki cha maisha mabovu ya nchi yetu. Tukutakie upumzike salama na Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amina..
 
Ndie Pekee Ambae Nilkuwa Na imani Nae Ndani Ya Ccm. Kwa Kuweka Maslahi Ya Taifa Mbele Chama Nyuma,
 
Deo na Kangi Lugola ndio niliokua naweza hata kuwasikiliza wanapokua bungeni maana wengi wao ni Ndioo tuu.
 
Mkuu Deo Filikunjombe hatunaye tena ni marehemu. Huu ushauri ungempa kabla hajaaga dunia.

we umekurupuka, wakati jamaa anaandika post hii ilikuwa 2012 na Deo alikuwa hai.
 
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
Kwa nini Kamanda Mhina anaingizwa humu?
 
Ninawasiwasi na wasifu uliouandika mbona amewahi kufanya kazi pale kwenye majengo nyeti yaliopo baada ya kijiji cha makumbusho kijitonyama lakini hujasema?.

Mkuu Wewe unaeelewa vzr siufunguke?
 
Alikuwa ni mtu wa kujituma.
Alikuwa na uthubuti.Wasifu wake unajieleza.
 
R.I.P kamanda mpiganaji Deo. mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina...!!!!
 
Back
Top Bottom