Wasifu wa Deo Filikunjombe

Wasifu wa Deo Filikunjombe

N i mnafiki kama minafiki mingine ya CCM,inayodhani chama chao kitatawala milele!!
Na sasa anajifanya kufurukuta baada ya kuona nguvu ya CDM hashuki!

Kumbuka kauli yake ya mwisho kabisa akichangia jana bungeni kasema hiv "Tatizo la CCM ni kukoseana kujiona kama ina haki ya kutawala milele". kwa kauli hii inaonyesha dhahiri huyu ni mtu wa namna gani na anakitazamaje chama chake, hana unafiki hata chembe huyu Deo, Think twice Mzizi wa Mbuyu!
 
Need I say More?
Yes you should say more than that.

IMG_3819.JPG
 
Huyu angefaa kuhama ccm akaja m4c huku angewangata sana ccm.

ingekuwa vema sana, lakini acha wawepo wengine wa kukipa changamoto chama ndani kwa ndani ili wasambaratike vizuri
 
loh, sikujua kama yuko hivi maana nilimfikiria tofauti pale nilipoona ile picha yake anayopigia watoto magoti.

Inaonekana anayoyasema ndiyo anayomaanisha na kusimamia.

Basi kama hii ndiyo background yake, wananchi na Mungu watakuwa nyuma yake bila ya shaka!
 
Tatizo huko aliko ndo kakosea blanketi la ccm linachawa wengi sana na kidole chake kimoja hakiwezi kuwavunja haya ni maneno ya wahenga "kidole kimoja hakivunji chawa" ajipime sasa
 
Ivi huyu ndo Deo Haule kumbe...yupo vizuri ila yupo wrong destination.. Over
 
loh, sikujua kama yuko hivi maana nilimfikiria tofauti pale nilipoona ile picha yake anayopigia watoto magoti.

Inaonekana anayoyasema ndiyo anayomaanisha na kusimamia.

Basi kama hii ndiyo background yake, wananchi na Mungu watakuwa nyuma yake bila ya shaka!

anastahili kuungwa mkono
 
unajua umaskini ndo unawafanya wabunge wababaike na kushindwa kukemea maovu, lakini kama
m2 yuko njema sidhani kama atababaika na lolote...sasa mtoto wa mkulima hata akikabwa na
tonge atakufa nalo... big up deo filikunjombe.
huo ni uongo mbona akina mnyika na akina zitto wanamaisha ya kawaida na hawaogopi kusema ukweli!?
 
Ivi huyu ndo Deo Haule kumbe...yupo vizuri ila yupo wrong destination.. Over

mkuu, huoni kama ni vema adui akapigwa kotekote, mbele, nyuma, kulia, kushoto na katikati? hawa ni wale wanaoipiga CCM katikati, upinzani unapiga sehemu nyinginezo.
 
nilimdharau sana alipopigia magoti watoto wa shule kumbe saa

nyingine ana akili pole sana Deo lakini huko uliko siyo sehemu yako

hamia airtel wewe na wenzako mlio wasafi na wenye moyo wa kuijenga nchi

na kuleta ukombozi wa kweli
 
Kumbuka kauli yake ya mwisho kabisa akichangia jana bungeni kasema hiv "Tatizo la CCM ni kukoseana kujiona kama ina haki ya kutawala milele". kwa kauli hii inaonyesha dhahiri huyu ni mtu wa namna gani na anakitazamaje chama chake, hana unafiki hata chembe huyu Deo, Think twice Mzizi wa Mbuyu!

Nimethink zaidi ya hapo mkuu, jamaa wamezidi kwa unafiki.

Wanalia kuliko wafiwa! hizo kauli hata JK huwa anatoa lkn nyuma ya pazia anapiga sanaa tu!
 
Back
Top Bottom