Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,340
- 9,081
No content
Mkuu edit hii post yako aisee unadhalilisha UtakatifuUmesahau ya upiga nyeto
Ndio kakadah kweli tupo na wadogo zetu.
pamoja janja.Ndio kaka
Duh. Tunaomba kazi gani tena hadi tunaambatanisha cv zetu?Huu ni wasifu wangu mimi Binadamu Mtakatifu
Umri: 18 (june 8 2004)
Dini: Mkristo Poli
Dini ya mama: Mkristo
Dini ya baba: Muislamu
Napenda: Kulala na kudevelop software mbalimbali, kucheka na marafiki
Sipendi: kukerwa/ huzuni
Uhusiano: Nipo singo sijawah kunaniliu
Kwanini nipo Jf: Just4Fun
Kabila: Msambaa
Rangi ya ngozi: Mweupe kiasi
Nini hufanya wakati nipo lonely: kukumbuka funny moments zangu
Kuzaliwa: Mapacha Me na Ke 😊
Nawewe weka sifa yako
Umri: 18 (june 8 2004)
Dini: Mkristo Poli
Dini ya mama: Mkristo
Dini ya baba: Muislamu
Napenda: Kulala na kudevelop software mbalimbali, kucheka na marafiki
Sipendi: kukerwa/ huzuni
Uhusiano: Nipo singo sijawah kunaniliu
Kwanini nipo Jf: Just4Fun
Kabila: Msambaa
Rangi ya ngozi: Mweupe kiasi
Nini hufanya wakati nipo lonely: kukumbuka funny moments zangu
Kuzaliwa: Mapacha Me na Ke 😊
We acha baba haya maisha ila ndevu sinaBinafsi wasifu wangu ni kwamba; Nilijiunga JF (enzi hizo ikiitwa Jambo Forums) wewe ukiwa na Umri wa miaka minne.
Na leo hii tayari ni Mkubwa mwenzangu..![]()
Eeee ndio tena kwenye jukwaa pendwa la MMU tunaangalia tu dada zetu, kaka zetu, baba zetu, na hata babu zetu wakiandika ujinga tuKwa hiyo tupo na watoto zetu humu.![]()
Sijaelewa hasa unamaanisha nn kuweka hii picha