Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wabishi...sijawahi kuona kabila wabishi kama waha.
Nimefanya kazi nao kwa zaidi ya miaka 19 sasa
Mkuu hatuzungumzii ubishi,tunazungumzia roho mbaya na uongo.Kuhusu ubishi nijambo la kawaida kila mtu anaependa kuongea saana huwa nimbishi.Asilimia kubwa ya waha niwaongeaji sana ndio maana wanaonekana wabishi.Lakini pia hio haiondoi usahihi wakuwa hakuna makibila ya watu wengine wabishi.Mimi nimeishi na wahaya nao niwabishi sana sasa sijui nao niwaha?.
 
Waha+ya= wahaya.
 
Safi sana kaka watu wanawaforce watoto wasome sayansi wakati maabara hakuna, mitaara mibovu,HII NDO TANZANIA

Mitaara ukimanisha ndoa za watu wengi?
Kama ndivyo mitaara ipo!
Kama unamaanisha mitaala basi hata namna unavyoandika inaonyesha kidato ulichopo na mada unayotaka kuchangia haviendani!

Back to the story,
Dr. Ndalichako hamtamuweza,ni kweli hata mimi binafsi nikisima Arts na Science wapate tu mikopo maana sasa hatuna wataalamu bali kila pahala tumewakodi na kuwalipa fedha nyingi sana za kigeni.
 

Haya hongera kwa kupata "jawabu"
Tabia kama ngozi, muha aliezaliwa akakulia Tz ktk familia ya kiha, .....wale wale tu... achana na walioenda usa wakiwa wadogo,
 

Pole ila sijawahi MAISHANI kuwa na kabila la shida visasi kama lenu waha! Na sitegemi milele Amina! Ila jitahidi kuendelea ku guess!!!!!!!!!!!! Hii ni jamiiiforums na kila mtu anaongea anachotaka! Got problem with that??? Nimekukera, pita kushoto,
 
Pole ila sijawahi MAISHANI kuwa na kabila la shida visasi kama lenu waha! Na sitegemi milele Amina! Ila jitahidi kuendelea ku guess!!!!!!!!!!!! Hii ni jamiiiforums na kila mtu anaongea anachotaka! Got problem with that??? Nimekukera, pita kushoto,
Pole mkuu maumivu yataisha tu.
 
Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?

Hivi ninyi watoto mnajielewa kweli nyie!

Yesu awasaidie

Mkuu, hapo kwenye blue unanikumbusha jina la form One tulilokuwa tukiwaita kule Tosa
 
ndalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
Watu mnafurahisha! Kwa hiyo akiwa TO ndiyo anajua sana? Ameformulate concept gani mpya kweli? Au na yeye Trig za wenzie na Numerical analysis?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…