Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Acha roho mbaya. Jenerali Ulimwengu ni Mtanzania. Hajawahi shiriki udharimu unaotaka kutuaminisha hapa. Unamsingizia mabaya kwa sababu ya misimamo yake ya kutopindisha lugha, akisimama kutoa hoja wenye akili huwa tunatulia kupata madini ghafi. Ana fikra huru, haishi kwenye kibuyu, haelekezwi cha kuandika. Ni msomi mwenye mawazo huru sio mtumwa wa mtu
Hoja siyo Uhuru wa maono guru au usomi. Hoja ya msingi ni maono na usomi unaoleta tija kwajami/ Nchi. Ulimwengu ni mvurugaji ndiyo maana baada ya kugundulika kuwa ni hatari kwa TAIFA letu. Alidhibitiwa haraka sana. Lengo lake lilikuwa lina fanana Govajov njinsi alivyo angusha USSR YAzamani. Usimuone hivyo hana Nina nzuri na Tanzania.
 
kama alikuwa banyamulenge haf akafanya kazi ikulu,bas h nch ya ajabuajabu sana,haf unamfukuza at sio raia wa tanzania wkt ulisha muweka kwenge kienge cha nch anajua mafga yote matatu ktk jiko! huo n wehu ulopitiliza viwango! kisa kasema nyeupe n nyeupe na nyeus n nyeusi! weeee jenerali dunia twafwaaaa.
 
Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.

Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.
Mkuu nakuunga mkona, kuwa hata akina Dr Kayunze, Mr Luta, hawa wawili walikuwa ni wahadhili SUA masuala yaDS. Kulikuwa na baadhi ya wanachuo walio kuwa wanasoma SUA Walikwenda kwa Kagame kupewa madaraka na wengine walienda DRC.

Ulimwengu asingeweza kupewa nafasi yoyote kati ya Rwanda au DRC kwasababu habebeki huyu.
 
Nimemsikiliza huyu jamaa mara mbili kwenye mihadhara pale pale UDSM. Niliona weredi wake na utulivu katika uchambuzi wa hoja. Niliona namna ambavyo viongozi wa serikali namaprofessa walivyovutika na ujengaji wake hoja.
Nashangaa watu wanavyomuita "boya" au kilaza. Inawezekana usimpende Ulimwengu
kwa sababu ya maono na misimamo yake ila huyo jamaa sio kilaza wala boya.
Nakumbuka wakati fulani kwenye mkutano fulani pale Mlimani city conference centre huyu jamaa aliongea kuwa "Tatizo kubwa la nchi hii ni watu kukosa fikra sahihi na kutotambua wajibu wa Serikali na haki zao".....
Serikali haipo madarakani ili kusifiwa ipo kwa ajili ya kutimiza wajibu kwa mwananchi.
Lakini leo mkuu wa idara anaendesha.gari.ya milioni mia wakat kuna mahali wananchi elfu 10 hawana zahanati ya Milioni 30.
 
Mkuu hapo sasa unaposema aliomba na kupewa ndipo nawe unachanganya mambo. Uraia wa kuzaliwa ni haki yako na wala huuombi. Kama aliomba basi uraia wa kuzaliwa unakuwa umefutwa.
Nimesema alinyang'anywa uraia na sina kumbukumbu kama aliomba na kupewa ila kuna wakati alikuwa akifanya kazi kwa vibali.
Aliomba kwa sababu alinyang'anywa kimagumashi kutokana na kutofautiana mawazo na waliokuwa madarakani. Elewa hapo. Ikabidi, kwa shingo upande, aombe uraia ambao ni haki yake. Sijui unaelewa?
 
Siyo Mzalendo yule. Ni mnafiki kama Zitto. Ana hasira na visasi sababu nchi yake ya asili karibu raia wake wote ni watu wa visasi vya kudumu tena wengine wanarithishwa.
tutakuwa na taifa la kipuuzi hadi mwisho wa dunia, raia wa taifa la kigeni mnawezaje kumkabidhi nyadhifa alizo wahi kushikaa huyo anaye itwa Jenerali ulimwengu???............ni kuwa haifanyiki vetting ya viongozi kabisa au mnaibuwa ya kuibua ili kumu eliminate baada ya kutofautiana naye?.
 
Aliomba kwa sababu alinyang'anywa kimagumashi kutokana na kutofautiana mawazo na waliokuwa madarakani. Elewa hapo. Ikabidi, kwa shingo upande, aombe uraia ambao ni haki yake. Sijui unaelewa?
mkuu wanasahau kwamba ulimwengu amewahi kuwa mkuu wa wilaya nchini tanzania! umakini wa taifa sijui upo wapi kama tuna waajiri watu wa kigeni kushika ndhifa nyeti kama hizo.
 
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.

Twaha Generali Ulimwengu amezaliwa Tanzania na amesoma Tabora boys na ameshika nyadhifa kadhaa kwenye CCM pamoja na ubunge. Wazazi wake walitokea Rwanda.

Aliandika habari za mke wa Kitine kupelekwa India kutibiwa mafua. Kumbuka Kitine aliwahi kuwa mkurugenzi wa Usalama waTaifa. Kitine alituma vijana wake wakaiba faili la Ulimwengu pale wizara ya mambo ya ndani. Baada ya hapo Ulimwengu akatiwa kashkash. Baadaye Ulimwengu alianza kuishi kwa vibali na kisha kupewa uraia.


PRESS RELEASE

The Ministry of Home Affairs has officially granted Jenerali Twaha Ulimwengu citizenship by naturalisation.


According to the public notice issued by Director of Immigration Services Mr. K.W.B. Kihomano and published March 11, 2004 on Thursday edition of the Daily News, Ulimwengu plus 32 others were given citizenship as empowered upon him under section 9 (1) and 1 (11) of Tanzania Citizenship Act No 6, 1995.
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
Umeacha mambo ya msingi sana kuhusu Jenerali; ama kwa makusudi au kwa kutofahamu historia yake vizuri!!!

Kwamba, pamoja na Unyarwanda wa Jenerali/Twaha Ulimwengu (Twaha Ulimwengu or Jenerali Uimwengu) ambao ulioneshwa na serikali ya Mkapa lakini Mzee Khalfani Ulimwengu; Baba mzazi wa Jenerali/Twaha Khalfani Ulimwengu alikuwa ni mmoja wa watu walioheshimika sana miaka ya 1940's huko Mkoa wa Ziwa Magharibi; nchini Tanganyika!!!!!

Likewise, huyu Jenerali/Twaha Khalfani Ulimwengu, nae alizaliwa Tanganyika hii hii huko Ngara na kusoma Tanganyika hii hii ambapo, eilimu yake ya awali aliipatia Kamachumu na middle school Katoke tangu miaka hiyoooo... hata kabla ya uhuru!!!

Hata elimu ya sekondari, aliipatia Tanzania hii hii huko Nyakato na Tabora Boys kabla hajaenda JKT na hatimae UDSM!!

Lakini pamoja na yote hayo, miaka 54 baadae ndipo serikali ya Mkapa ikamuona eti sio Mtanzania!!!!!

Bado nina kumbukumbu ya Makala ya mwisho kabla Ulimwengu hajapigwa ban!!! Heading ya makala ile ilisomeka: Akina Jefferson na Magazeti!!

Kwamba, hapo kabla Rais Jefferson wa Marekani alijifanya ni mpenzi kweli kweli wa magazeti kwa sababu tu walikuwa wanamwandika vizuri! Lakini magazeti yale yale yalipoanza kuandika mabaya ya serikali ya Jefferson, Rais Jefferson akageuka kuwa mbogo na mkali kweli kweli dhidi ya magazeti!!!

Hivi ndivyo Mkapa alikuwa!!

Mwanzoni alijifanya ni rafiki wa media jambo ambalo watu halikuwashangaza kwa sababu nae alipata kupitia huko hapo kabla! Lakini media zilipoanza kuandika maovu ya serikali ya Mkapa; Ben akageuka kuwa mbogo.... AKINA JEFFERSON NA MAGAZETI!!
 
Hoja siyo Uhuru wa maono guru au usomi. Hoja ya msingi ni maono na usomi unaoleta tija kwajami/ Nchi. Ulimwengu ni mvurugaji ndiyo maana baada ya kugundulika kuwa ni hatari kwa TAIFA letu. Alidhibitiwa haraka sana. Lengo lake lilikuwa lina fanana Govajov njinsi alivyo angusha USSR YAzamani. Usimuone hivyo hana Nina nzuri na Tanzania.
Aiseee bhasi tuna matatizo makubwa kwenye mfumo watu wa kupata uraia pamoja na usalama,nadhani Nyerere asingeruhusu ilo litokee angalia kwa Mzee Kambona alichofanywa
 
Back
Top Bottom