Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

NA "KICHAA" MTANZNIA???
 
Sio kweli kwamba walimrudishia huo uraia isipokuwa ali-apply uraia wa Tanzania akapewa (uraia wa makalatasi). Kwa hivyo hiyo haki ya uraia wa kuzaliwa alinyang'anywa.
 
Hakuna ubishi kuhusu elimu ya juu, uelewa mkubwa na uzalendo wa Jenerali Ulimwengu. Na mara nyingi ni mkweli. Lakini ni binadamu, naye huongozwa na hisia binafsi wakati mwingine. Kwa mfano, kumsakama sana Mkapa (ambaye alikuwa na upungufu wa ujeuri kama wa Jenerali) ni kwa kuwa hakuzawadiwa cheo alichokitaka serikalini baada ya kushiriki kampeni vyema. Alipoendelea kumsakama, ndipo wabaya katika system wakaleta hoja ya uraia wake. Technically, kwa sheria ya uraia wa wakati ule, Jenerali, Bandora na wengine hawakuwa raia kwa kuwa hawakuzaliwa Tanganyika. Walizaliwa Rwanda, wakaja nchini wakiwa wadogo. Watu wengi wa mipakani, hata wa ndani sana kama maeneo ya Tabora (kwao Bandora) kulikokuwa na wahamiaji wengi, hasa wakimbizi wa nyakati za ukoloni, hawakuwa raia technically. Ilitakiwa warasimishe kwa kupata uraia wa kujiandikisha. Familia za kisomi mijini zenye utata huu huenda zilirekebisha haya, lakini haikuwa rahisi kwa familia ya kawaida kufanya hivyo, matokeo yake kwenye siku mbaya yakatokea ya akina Jenerali na Bandora. Wenye umri mkubwa mtakumbuka kuwa kwa sheria ile, ili kupata pasipoti ilibidi uonyeshe uraia wa Tanzania wa wazazi wako au upate mzee wa kula kiapo kuwa alishuhudia wazazi wako WAKIZALIWA. Sijui kama mnakumbuka jinsi Azim Premji alivyokosa uraia na kuvuliwa ubunge kwa sababu tu baba yake hakuwahi kukana uraia wa India, shitaka aliloshinda Dr. Walid Aman Kaborou wa CHADEMA. Ukisumbua, watu wa system, lakini hata washindani wako wengine kama wa kisiasa wa Premji, wanakupiga pale ulipo na kasoro hata usiyoijua. Jenerali, Bandora, Premji walirekebisha kilichotakiwa, na sheria ile pia imerekebishwa kiasi. Wote wapo nchini na ni raia.
 
Anakimanya sana Kiingereza..Akiandika makala nzuri nzito nzito Kwenye Gazeti la East Afrika...Ni mwamba anajua sana mambo...Ukweli ubaki kuwa ukweli..
 
Alibadili lini jina?

Kwa waliopita Tabora School watakumbuka list ya Head Prefects waliopita ambayo ipo pale mess jina lake likiwepo pia na linasomeka Jenerali Ulimwengu,hiyo list ipo miaka nenda rudi.
 
Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Ccm akili zenu fupi sana, yaani Mtu akiwakosoa tu, anakuwa CHADEMA , wala hamjiulizi Kwanini amewakosoa, mlivyo mazuzu!
 
Ulimwengu ana degree ya sheria tu hajasomea uandishi,bali uandishi alijifunia kazini tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uraia alirudishiwa na kwa sasa hana kitu anategemea kulelewa na mkewe mtoto wa marreale anayefanya kazi ethiopia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ahsante kwa kutupa hako ka historia. Samahani naomba kujua huyu Joseph Mihangwa yuko wapi kwa Sasa. Juzi kati tumempoteza Mzee Paskali Mayega(Mwalimu Mkuu) hawa ulipokuwa ukisoma makala zao ni burudani tosha.

Ulimwengu yeye ametoa kitabu chenye mkusanyiko wa makala zake za Rai ya Ulimwengu. Sema hicho kiingereza chake kwenye makala zake ktk gazeti la The East African sio cha nchi hii.
 
Baada ya rai wakaanzisha mtanzania na mfadhili wao mkuu aliyetoa kila kitu ni rostam aziz kwahiyo huyo jenerali msimuamini sana njaa ikizidi ndio anajitia kupinga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uraia alisharudishiwa.
 
Twaha Ulimwengu ni bidha adimu,na itachukua karne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.
John Heche (@HecheJohn) Tweeted:
Wale wapiga makofi bungeni na kumshamgilia Ndugai. Njoo mjifunze Jenerali Ulimwengu ni nani.
Kabla ya kutoka vijijini kwenu yeye alikua anaiwakilisha nchi yetu huko Duniani, kabla hajafikiria Ubunge wa kupora ambao hamkushinda yeye tayari alikua Mbunge maarufu. Tuheshimu watu. https://t.co/KRpvOcB4Sk
 
Sahihi kabisa
 
Ila zamani watu walikua wanapiga kitabu aisee,namkumbuka mjomba mmoja huko kijijini Mbeya jamaa kapiga kitabu mpk makerere University mpaka akawa chizi wakamrudisha.
Jamaa alikua anaongea mwenyewe ila kwenye kijumba chake pale bush ana vitabu library haswa ya mzungu.
Ukikaa nae akianza kumwaga material utachoka.
Mjomba Benja pale bush alikua habari ingine.
Watu walikua wanamwogopa ule uchizi wake.
Mara ya mwisho tumeonana jamaa kapona.
Very smart ana viskose shati na moka na suruali celebration balaa
Yaani smart
Kuuliza kapona vp?
Wananambia aliuza shamba la mamaake alipokufa akapata hela nyingi akapona.
Nilicheka nikaona huyu alikua na uchizi hela tu.
 

Huyo ni Ghadafi mkuu?
 
Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Zuzu ni mamako alokuzaa kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…