Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Sasa ndiyo umeandika taka gani hapa?

Leo ni 2019 lakini Historia yako uchwara imeishia 1997.
 
Mkuu chige, huo upuuzi wa kusema fulani sio raia upo sana bongo. Kaka yangu alikwenda uhamiaji Arusha ku-reniew passport akakutana na dogo mmoja anamwambia sio raia kwa sababu tu ya jina la mzee.

Ikabidi apewe shule kwamba majina ya kibantu yana maana zinazofanana.

Mwanza yupo Zambia, yupo kule kwa wafipa Rukwa, ina maana Mwanza wa Rukwa sio mtanzania kwa sababu jina lake lipo Zambia na Malawi?.

Keita yupo Nigeria, Mali, Senegal, Burkina Faso, Guinea na Ivory Coast. Ina maana Keita wa Nigeria sio mnigeria kwa sababu jina lake limetapakaa afrika magharibi nzima?.

Hii issue ya uraia inatumika kisiasa, lakini siku zote fitina huwa haidumu, ina mwisho mbaya kwa anayeianzisha.
 
Shushu tangu enzi TANU hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 katika Mkoa wa Ngara, Kagera Tanzania..
Na alipofika umri wa miaka 26, akiwa shabaab hasa, kwa miaka 10 na ushee Jenerali Twaha Ulimwengu akawa:-
Moja wa Vijana wa Afrika Mashariki mwakilishi wa Tanzania huko Algiers, kutoka 1974 hadi 1985;.
Dah, huyu jamaa atakuwa kawatafuna sana wale wenye damu ya mtume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…