Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Nilikuwa napenda sana nimpe kura yangu tatizo chama alichopo kina Makando kando mengi!!!?plus ahadi hewa nyingi.

Chagua kiongozi Mchapakazi na Muadilifu, John Pombe Magufuli, mafisadi sehemu yao ni gerezani na sio ikulu.Mahakama ya mafisadi ndio stahili yao.
 
JULIUS MTATIRO: MAMBO MATANO MAZURI YA JOHN POMBE MAGUFULI.
1. USIMAMIZI BORA
Taswira ya kwanza ambayo Magufuli anaweza kuirejesha bila wasiwasi ni usimamizi thabiti wa serikali na nidhamu ya utendaji ndani ya serikali. Naamini kuwa serikali ya Magufuli itakuwa ya kiusimamizi na yeye mwenyewe anaweza kulifanya jambo hilo bila kusita.
Katika nyadhifa nyingi alizopitia hadi sasa ameijenga taswira hii kila alikopita na bado inambeba hata ikitokea anachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano.
Tukumbuke kuwa moja ya mambo ambayo yameanguka kabisa nchini hivi ni utendaji ndani ya serikali.
Ikiwa utendaji wa serikali unaimarika na huduma zinatolewa kwa wakati, tutaweza kujenga taifa linalokwenda mbele bila kujali chama gani kiko madarakani. Katika hili Magufuli amethibitisha anaweza.
2.MISIMAMO IMARA
Taswira bora ya pili ya serikali ya Magufuli inaweza kuwa ni misimamo katika masuala ya msingi na kutoyumba sana. Magufuli muda wote ambao amekuwa kiongozi ameonyesha jambo hilo.
Naamini Magufuli si mtu wa kugeuka na kuna masuala mengi anaweza kuyasimamia kwa dhati na kila mmoja wetu akakubali kuwa, naam! Hapa kuna kiongozi anasimamia masuala haya.
3. UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI
Taswira ya tatu ya serikali inayoweza kuundwa na Magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara.
Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya Kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo Kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale ‘Msoga'. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni Magufuli.
"Ilipasa Magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake", jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda Ikulu.
Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona Magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo "waziri wa miradi" katika serikali atakayoiunda.
4. MAWAZIRI IMARA
Taswira ya nne nayoiona katika serikali ya Magufuli ikitokea anashinda urais wa Tanzania ni uundaji wa Baraza la Mawaziri na nyadhifa za kiutendaji zilizojaa watu wenye uwezo kuliko marafiki.
Magufuli anaweza kuwa dawa ya serikali za ushkaji kwani tangu kwenye mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM hakuonekana kama "kitisho" na hakuwa na makundi nyuma yake, penyeza yake ya kimya kimya hadi anakuwa mgombea urais wa CCM imemsaidia kuanza kujenga marafiki wasio na masharti ya kutaka kubebwa naye.
Marais wengi huunda mitandao na mitandao hiyo huwapa fedha mapema na huwasaidia kila jambo, wanapofika madarakani huwa na deni la kuilipa mitandao hiyo, malipo yenyewe ni miradi ya serikali, tenda mbalimbali na vyeo lukuki. Naamini Magufuli hatakuwa na tatizo hilo na itamsaidia kutengeneza serikali isiyo na "washkaji kibao."
5.CCM YENYE NGUVU
Taswira ya tano inayoweza kujitokeza ni uwezekano wa kurejesha nguvu ya CCM ambayo inasambaratika, na naamini hili linaweza kujitokeza sana hasa kwenye kipindi cha kwanza cha uongozi wake
Ikitokea CCM inavuka kizingiti na inapona kuangushwa halafu Magufuli anakuwa rais, anaweza kujizatiti na akatumia miaka mitano kufanya mambo makubwa yatakayowafanya wananchi warudishe imani kwa chama hicho.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi 13/7/2015
 
Tatizo kubwa wananchi wa Taifa hili la Tanzania mwaka huu hawaichagui CCM ,hilo sasa Magufuli hata angelikuwa na madegree akibeba kwenye viloba na vyeti vingine akikokota kwenye bajaji na mikokoteni kabisa havitomsaidia kwani mwaka huu kama CCM haikuzama basi itazamishwa.
 
Dr MAGUFULI
NGULI WA SAYANSI NA RAIS MTRAJIWA AWAMU YA 5:

Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato – wakati huo ikiwa Mkoa wa Kagera (sasa Mkoa wa Geita).
Ana Shahada ya Uzamivu ya Kemia (2006 – 2009) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mwaka 1991 – 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salfordnchini Uingereza.

Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanzaya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.

Mwaka 1981 – 1982, alisoma diploma katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.

Mwaka 1979 – 1981, alipata elimu ya juu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Mkwawa, Iringa.

Mwaka 1977 – 1978, alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake, Mwanza.

Mwaka 1975 – 1977, alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka 1967 – 1974, alisoma Shule ya Msingi, Chato.

Mafunzo
Machi 1984 – Juni 1984 alihudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mpwapwa mkoani Dodoma.

Januari 1984 – Machi 1984 alikuwa JKT Makuyuni, Arusha.
Julai 1983 – Desemba 1983 alikuwa JKT Makutupora, Dodoma.

Uzoefu wa kazi
Mwaka 2010 – hadi sasa: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Chato.
Mwaka 2008 – 2010: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Samaki; Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).

Mwaka 2005 – 2008: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato)

Mwaka 2000 – 2005: Waziri wa Ujenzi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1995 – 2000: Naibu Waziri wa Ujenzi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1989 – 1995: Mkemia Chama cha Ushirika cha Nyanza Cooperative Union (Ltd.), Mwanza.

Mwaka 1982 – 1983: Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema (akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati).
Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa.

Ameandika vitabu na majarida mbalimbali. Ameoa na ana watoto kadhaa.
[12:08, 27/08/2015] Ayub Cmn:
Pamoja na kuwa busy na mambo ya kazi za siasa, Uwaziri na Ubunge, Mheshimiwa Magufuli aliweza kusoma na kumaliza PhD yake pale UDSM jambo ambalo ni la kupigiwa mfano tofauti na Mbunge mmoja wa Upinzani aliyeshindwa kumaliza Shahada yake laini (BBA) hapo hapo UDSM miaka nenda rudi.BAADHI YA MACHAPISHO/PUBLICATIONS YA MTEULEMulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. ¿Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st ¿ 5th December 2003, Dar es Salaam 5 Dec 2003
Magufuli, J. P., ¿Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th ¿ 30th April, 2003 Arusha Tanzania. 30 Apr 2003
Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 ¿ 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003
Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead. ¿A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11 ¿ 16 July, 1999, p162 ¿ 183. 16 July 1999
Magufuli, J. P., ¿Background of the Mtwara Development Corridor¿ Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe ¿ Malawi.

Uongozi mara nyingi ni negatively correlated na CV nzuri
 
Angebak kuwa mwalimu tu...mwaka jana angeshachukua pension yake ya mililion 30

Sasa kugombea Urais huo ni uroho wa madaraka amuunge mkono mgombea mwenye sifa zote Kamanda lowasa
 
NB Angalia sehemu ya political experience, ni majanga. Kuwa na PhD sio ishu ila ishu ni uwezo wa kiuongozi katika nafasi kuu kuliko zote katika nchi. Kweli uzoefu wake unatosha?! Hivi was this the best katika watanzania wote? Hivi ccm walimteua kwa kigezo gani? No track record in political leadership, no international exposure, nk. Mabaya zaidi pamoja na PHD yake hana general knowledge nje ya eneo lake la kazi. Tumemsikia juzi akisema sadam husein alikuwa rais wa Libya alipojua amekosea akajirekebisha kwa kusema sadam husein alikuwa rais wa Kuwait! Mmmmhhhhhh!

Member of Parliament CV


Salutation
Hon.
First Name:
Dr. John
Middle Name:
Pombe Joseph
Last Name:
Magufuli
Constituent:
Chato
Political Party:
Chama Cha Mapinduzi
Office Location:
P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 713 322 272/+255 754 292 580
Office Fax:
+ 255 22 2124505
Office E-mail:
jmagufuli@parliament.go.tz
Member Status:
Active
Date of Birth
29 October 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL
[/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1014.jpg

[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member
[/TD]
School Name/Location
Course/Degree/Award
Chato Primary School
Mkwawa High School
Lake Secondary School ¿ Mwanza
Katoke Seminary Biharamulo, Kagera
Mkwawa College of Education
University of Dar es Salaam
Universities of Dar es Salaam, TZ &Salford -U.K.
University of Dar es Salaam.

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION
[/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level
[/TH]

[TD="align: center"]CPEE
[/TD]
[TD="align: center"]1967
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]Primary School
[/TD]

[TD="align: center"]ACSEE
[/TD]
[TD="align: center"]1979
[/TD]
[TD="align: center"]1981
[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School
[/TD]

[TD="align: center"]CSEE
[/TD]
[TD="align: center"]1977
[/TD]
[TD="align: center"]1978
[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School
[/TD]

[TD="align: center"]CSEE
[/TD]
[TD="align: center"]1975
[/TD]
[TD="align: center"]1977
[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School
[/TD]

[TD="align: center"]Diploma in Education (Sc.) Chem., Maths&Edu.
[/TD]
[TD="align: center"]1981
[/TD]
[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]Diploma
[/TD]

[TD="align: center"]B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths
[/TD]
[TD="align: center"]1985
[/TD]
[TD="align: center"]1988
[/TD]
[TD="align: center"]Bachelor
[/TD]

[TD="align: center"]MSc. (Chem)
[/TD]
[TD="align: center"]1991
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]Masters Degree
[/TD]

[TD="align: center"]PhD (Chem)
[/TD]
[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"]2009
[/TD]
[TD="align: center"]PhD
[/TD]
Company Name
Ministry of Works
Minister
Ministry of Livestock and Fisheries Development
Minister
UN-HABITAT
Co-chair World Urban Forum (III)
Ministry of Lands and Human Settlements
Minister
World Road Congress (PIARC)
1st Delegate
Mtwara Development Corridor
Member
Ministry of Works
Minister
Ministry of Works
Deputy Minister
Tanzania Chemical Society
Member
Nyanza Co-operative Union(NCU) Ltd.- Mwanza.
Industrial Chemist
Sengerema Secondary School
Teacher(Chemistry and Mathematics)

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]

[TH="align: center"] Position
[/TH]
[TH="align: center"] From
[/TH]
[TH="align: center"] To
[/TH]

[TD="align: center"]2011
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]

[TD="align: center"]2008
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]

[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"]To Date
[/TD]

[TD="align: center"]2005
[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008
[/TD]

[TD="align: center"]2000
[/TD]
[TD="align: center"]2005
[/TD]

[TD="align: center"]2000
[/TD]
[TD="align: center"]2005
[/TD]

[TD="align: center"]2000
[/TD]
[TD="align: center"]2005
[/TD]

[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]2000
[/TD]

[TD="align: center"]1993
[/TD]
[TD="align: center"]Todate
[/TD]

[TD="align: center"]1989
[/TD]
[TD="align: center"]1995
[/TD]

[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]1983
[/TD]
Chama Cha Mapinduzi - CCM( Biharamulo East)
Member of Parliament of Tanzania
Chama Cha Mapinduzi - CCM
Member

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]

[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]Todate
[/TD]

[TD="align: center"]1977
[/TD]
[TD="align: center"]Todate
[/TD]
Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. ¿Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st ¿ 5th December 2003, Dar es Salaam
5 Dec 2003
Magufuli, J. P., ¿Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th ¿ 30th April, 2003 Arusha Tanzania.
30 Apr 2003
Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 ¿ 25 October, 2003 Durban, South Africa.
25 Oct 2003
Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead. ¿A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11 ¿ 16 July, 1999, p162 ¿ 183.
16 July 1999
Magufuli, J. P., ¿Background of the Mtwara Development Corridor¿ Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe ¿ Malawi.
15 Dec 2004

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS
[/TH]

[TH="class: text_menu"]Description
[/TH]
[TH="class: text_menu"]Date
[/TH]
 
Huyu amekataliwa kule anakotoka ( Chato ) na kakataliwa na mke wake pia. Sasa tunatakiwa kujiuliza. Ni lipi litamfanya achaguliwe kuwa rais, Maana taaluma kasha ichakachua na huko hafai.
 
Hivi CCM walitumia kigezo gani kumteua huyu jamaa? yaani kujua tu kukariri takwimu? Uzoefu zero kabisa! Vijicomfrensi viwili vitatu amehudhuria eti ndio publications!
 
Hakuna leadership qualities zozote. hakuna katika cv yake mahali panapoonesha ameonoza chchote cha maana kimataifa!
 
Yaan wafuasi wa fisadi mnacomment kwa mihemko zaidi, kama vile ndo mnabalehe
 
Angalia sehemu ya political experience ni shida!
 
Ila watu wana wivu sana.......sisi watu wa pwani tunaita Hassad, ona hizo commet hapo juu
 
Kwa hii CV magufuli atakuwa president of my dream! Kumbe vidato vyote kasoma hapahapa Tz..! Nitampa kura yangu.
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHon.
First Name: Dr. John
Middle Name: Pombe Joseph
Last Name:Magufuli
Constituent: Chato
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 322 272/+255 754 292 580Office Fax: + 255 22 2124505
Office E-mail: jmagufuli@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth 29 October 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1014.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
Chato Primary School
Mkwawa High School
Lake Secondary School ¿ Mwanza
Katoke Seminary Biharamulo, Kagera
Mkwawa College of Education
University of Dar es Salaam
Universities of Dar es Salaam, TZ &Salford -U.K.
University of Dar es Salaam.

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]

[TD="align: center"]ACSEE[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]Diploma in Education (Sc.) Chem., Maths&Edu.[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]Diploma[/TD]

[TD="align: center"]B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]Bachelor[/TD]

[TD="align: center"]MSc. (Chem)[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]Masters Degree[/TD]

[TD="align: center"]PhD (Chem)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
Company Name
Ministry of WorksMinister
Ministry of Livestock and Fisheries DevelopmentMinister
UN-HABITATCo-chair World Urban Forum (III)
Ministry of Lands and Human SettlementsMinister
World Road Congress (PIARC)1st Delegate
Mtwara Development CorridorMember
Ministry of WorksMinister
Ministry of WorksDeputy Minister
Tanzania Chemical SocietyMember
Nyanza Co-operative Union(NCU) Ltd.- Mwanza.Industrial Chemist
Sengerema Secondary SchoolTeacher(Chemistry and Mathematics)

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]

[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
Chama Cha Mapinduzi - CCM( Biharamulo East)Member of Parliament of Tanzania
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. ¿Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st ¿ 5th December 2003, Dar es Salaam 5 Dec 2003
Magufuli, J. P., ¿Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th ¿ 30th April, 2003 Arusha Tanzania. 30 Apr 2003
Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 ¿ 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003
Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead. ¿A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11 ¿ 16 July, 1999, p162 ¿ 183. 16 July 1999
Magufuli, J. P., ¿Background of the Mtwara Development Corridor¿ Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe ¿ Malawi. 15 Dec 2004

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"]Description [/TH]
[TH="class: text_menu"]Date[/TH]

Hatuhitaji Intrnational figure kutatua mayatizo yetu. Huyu ndo anajua matatizo yetu na wala hahitaji kwenda nje kujifunza ili kutatua our local challenges.
 
Hivi CCM walitumia kigezo gani kumteua huyu jamaa? yaani kujua tu kukariri takwimu? Uzoefu zero kabisa! Vijicomfrensi viwili vitatu amehudhuria eti ndio publications!

Yaani hata research yake ya PhD haina publications?
 
Hatuhitaji Intrnational figure kutatua mayatizo yetu. Huyu ndo anajua matatizo yetu na wala hahitaji kwenda nje kujifunza ili kutatua our local challenges.

Ulocal sina maana aende nje nina maan ya political experience na leadership. Angalia kwenye sehemu ya political experience. Huyu ndio the best ccm walikuwa naye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom