Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Lowasa alishika wadhfa gani CHADEMA kabla ya kugombea Uraisi?
Hakushika wadhifa,
Alibatizwa na kufutiwa dhambi zake zote.
Na hivi sasa ndo kiongozi mkuu wa chadema anayeongoza graduation yake kutoka kikundi cha wanaharakati na kuwa chama cha siasa (kama ilivyo ccm).
 
Naona wapiga ramli wanaongezeka kila kukicha..na kila mmoja anasema hawezi hawezi duh
 
Lowasa alishika wadhfa gani CHADEMA kabla ya kugombea Uraisi?
Urais sio sawa na uenyekiti wa Chama!Uzoefu unaotakiwa kuongoza nchi na chama ni vitu viwili tofauti!Magufuli na Lowassa wote wanauzoefu wa kuongoza serikali lakini si chama!
 
Enh sawa.....ebu tuone wasifu wa mpinzani wake ktk kinyang"anyiro cha uenyekiti sasa
 
Urais sio sawa na uenyekiti wa Chama!Uzoefu unaotakiwa kuongoza nchi na chama ni vitu viwili tofauti!Magufuli na Lowassa wote wanauzoefu wa kuongoza serikali lakini si chama!
Sasa kama anaenda kuiuwa ccm ninyi ukawa kinaawauma nin? Au kwnin mnawewseka hivyo?
 
Sasa kama anaenda kuiuwa ccm ninyi ukawa kinaawauma nin? Au kwnin mnawewseka hivyo?
Hoja ni kuwa hana uzoefu wa uongozi chamani!Kwa hatua ilipofikia tayari ashakuwa mwenyekiti so hatumuamshi aliyelala coz kama kuchelewa tayari mliahachelewa!
 
Bado Nyumbu na elimu zao za hapa na pale watakuja kuponda na kudai hakuna kilichofanyika huku wakiendesha vitz zao kwenye km17000 za lami.!!!!!

Ndio kazi ya waosha Mafisadi wa ufipa iliyobaki.
 
Hoja ni kuwa hana uzoefu wa uongozi chamani!Kwa hatua ilipofikia tayari ashakuwa mwenyekiti so hatumuamshi aliyelala coz kama kuchelewa tayari mliahachelewa!
Sasa kinaawauma nin? Inakuaje adui yako anaelekea kuteketea halafu wewe unaumia?
 
Acha kujifarji maana unaumia sana jamaa kufanikiwa kuchukua chama.
Kama amekuwa Rais sijaumia,nitaumia akiwa mwenyekiti wa chama kilichomnyonya mtanzania mpaka leo nchi ina uozo kila kona!Wacha akapitishe fagio huko,napendekeza aanze kutumbua Lumumba bk 7!Nyumba ya jirani tutasikia yowe tu!
 
Kwan mkuu unahis kitu gani magufuli akikfanya atakukuna na kufanya uwe mshabik woke?
 
Hapa wangenyoosha vizuri na kwa uwazi! Waseme hiyo form 5 na 6 alisoma masomo gani matatu?. Asiwe na wasiwasi.....stashahada ya miaka mitatu kwa form 4 leavers ilikuwa inakubalika tu! Wenyewe walikuwa wakiita "half combi". Conceptually, inataka kufanana na hiyo "Special Diploma" ya UDOM!

Yalaaaa!😀😀😀
Mkuu unaanza kuelekea kubaya..............mimi simo(LoL)😎😎😎
 
Mungu wangu nyie wanafiki wa LUMUMBA inamaana huyo jamaa yenu ni msomi kushinda awamu zote nne hata mkombozi wa taifa hili njaa zingine mbaya MWALIMU leo mnamshusha simiyu yetu tuombe radhi watanzania njaa yako usimvunjie heshima nembo ya taifa letu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom