Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo
Jambo la kufurahisha ni JPM hajawahi kushika nyadhifa yoyote ndani ya ccm na hivyo itakuwa rahisi sana kwake kukisafisha na kukipa mwonekano mpya pasipo kumwogopa yeyote.
 
Ni fedheha kwa vyama vya upinzani kuungana na mafisadi na wasioitakia mema nchi hii.
 
Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo
Ukiaminiwa na watanzania chama ni nani hata washindwe kukuamini
 
Na hao ndio waliokuwa wanampikia majungu. Walianza wakati wa uteuzi kuwa JPM hafai. Sasa hao hao wamegeukia kwenye chama. Washindwe na walegee
watashindwaje wakati ndio wenye chama chao,yeyey anaonekana mamluki na anataka kuleta utamaduni mpya ndani ya chama matokeo yake kutakuwa na ccm academia na ccm orijini
 
Naam. Naamini kuwa ataanza na Luhwavi

Nafananisha kinachotokea CCM na kile kilichotokea Kanisa Katoliki baada ya Pope Benedict kujiuzulu. Kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa ndani ya Vatican, mitandao ya maslahi na skandali kila kona, makadinali walimua kumchagua mtu wa mbali kabisa (outsider) ambaye hakuwa sehemu ya 'watu wa Vatican' na ndipo akapatikana Pope Francis.

Magufuli ni mwanachama wa CCM - na anatosha. Mitandao ndiyo imeifikisha hii nchi kibla.
 
Kwa hiyo lowassa ni mwenyekiti wa chadema sio.....hivi watu wa ccm kichwani kuna ubongo au majivu ..?

Its all about experience muache bangi tumieni akili mlizopewa na Mungu. Inakuaje mnamwamini mtu kupeperusha bendera ya chama ambaye hana experience hata ya siku mbili katika chama
 
Its all about experience muache bangi tumieni akili mlizopewa na Mungu. Inakuaje mnamwamini mtu kupeperusha bendera ya chama ambaye hana experience hata ya siku mbili katika chama
Hv chama na kuongoza nchi kipi kikubwa?
 
FRIDAY, JULY 22, 2016
4.0. UZOEFU WA UONGOZI NDANI YA CHAMA
Rais Dkt. Magufuli alijiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1977. Amekuwa Mwanachama mwaminifu na ameshika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama. Nafasi alizowahi kushika ni pamoja na kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Mkoa, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa.
Naona ndani ya chama anao uzoefu wa ujumbe tu. Hivi hakuwahi kuwa hata mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu, katibu msaidizi au mhazini wa ngazi yoyote ile ya chama?
 
Kuanzia mwaka 1979 hadi 1981 alifanya masomo ya kidato cha Tano na Sita katika shule ya Sekondari ya Mkwawa Mkoa wa Iringa .

Mwaka 1981 hadi 1982 alisoma Chuo cha Ualimu Mkwawa na kuhitimu Stashahada ya Ualimu ya Masomo ya Kemia na Hisabati.
Hapa wangenyoosha vizuri na kwa uwazi! Waseme hiyo form 5 na 6 alisoma masomo gani matatu?. Asiwe na wasiwasi.....stashahada ya miaka mitatu kwa form 4 leavers ilikuwa inakubalika tu! Wenyewe walikuwa wakiita "half combi". Conceptually, inataka kufanana na hiyo "Special Diploma" ya UDOM!

Yalaaaa!😀😀😀
 
Mwaka 2006 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya Shahada ya Uzamivu katika Fani ya Kemia na kufanikiwa kuhitimu mwaka 2009.

Magufuli aliendelea na elimu ya juu zaidi kwa maana ya Shahada ya Uzamivu ya Kemia kuanzia mwaka 2000 hadi 2009, ambayo alihitimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuwa mhitimu wa Shahada ya Udaktari.

Duuuu!!!

Hivi ile ndege ya Malyasia MH370 iliyopotea imepatikana????
 
Hapa wangenyoosha vizuri na kwa uwazi! Waseme hiyo form 5 na 6 alisoma masomo gani matatu?. Asiwe na wasiwasi.....stashahada ya miaka mitatu kwa form 4 leavers ilikuwa inakubalika tu! Wenyewe walikuwa wakiita "half combi". Conceptually, inataka kufanana na hiyo "Special Diploma" ya UDOM!

Yalaaaa!😀😀😀

Dah Mkuu unanikumbusha mambo ya Conceptual Design.

Sasa naona unataka ku-design assumptions.

Conceptual design ya CCM inahitaji revisit na JPM atahitaji kufanya hiyo revisit kwasababu hailingani na reality kwamba mabadiliko si tu sehemu zingine, bali yanahusu pia ndani ya CCM yenyewe.

JPM akiingia CCM atatengeneza conceptual design kali kabisa na yenye nguvu ambayo itakuwa vigumu kuihimili.

Ni kama vile unapotengeneza conceptual design ya bidhaa si unataka ije ikidhi matakwa ya wateja?

Sasa hii ni conceptual design from Chamwino.

Sahau mambo ya Special Diploma.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom