mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,560
- 10,613
Shikamoo Mange sasa huu uhakiki unaosababisha watu wanakimbia hadi familia zao ni wa nini? kwa nini tunakuwa wanafki hivyo?Mpaka Dada yake Mange kapost hi
Nafikiri uko kwenye ndoto na mkuu umesahau ' Debe tupu.......'Naamini makonda hajachakachua vyeti vyake, na kwa jinsi alivyo MTU wa Mungu ataonyesha mubashara vyeti vyake vyote vya toka darasa la saba mbele ya waandishi huku pembeni akiwa na baadhi ya waalimu wake wa secondary.
Na kweli msomi wa dunia! A jack of all trades BUT a master of NOTHING! Teh teh teh!!!!!!!!!!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Ukiyatafuta ya wenzio, na wao watakuchimba maradufu! Kumbuka "what goes round, comes around"!mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
huu ni ujinga uliopitiza hata hilo jina la makonda si lake,huyo jamaa hajawahi kufaulu zaidi ya kubebwa kwenye sahani- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
we mzee nasikia hadi hii leo huna nyumba maisha yako ni ya kihunihuni ingawa umri umekutupa mwenyewe hulioni hilo, bado unaishi kwa kumtegemea mzee, je ni kweli.........?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
sasa wewe mwenye gpa zaidi ya 2.9 maisha yako yakoje? kama sio kuranda mitaani.Alipataga GPA ya 2.9 kwa kusaidiwa pale muccobs baada ya kufeli na kurudiarudia mana alikuwa hamalizi
unamjua ni nan au unapambana tusasa wewe mwenye gpa zaidi ya 2.9 maisha yako yakoje? kama sio kuranda mitaani.
Duh GPA kama yanguAlipataga GPA ya 2.9 kwa kusaidiwa pale muccobs baada ya kufeli na kurudiarudia mana alikuwa hamalizi
Mbna anasoma master mkuu kwa hyo GPA?Alipataga GPA ya 2.9 kwa kusaidiwa pale muccobs baada ya kufeli na kurudiarudia mana alikuwa hamalizi
Tatizo ni kua kwa nini ugushiCV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
Sawa ni kweli ila tatizo kwa nini ugushi katika nafasi kama yake ... ama kweli mpenda akiona chongo anasema kengeza ... katenda kosa kugushi inabidi awajibikeCV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
HataMtasema sana ila in life ni kupata. Ongea mpaka povu litoke. And Makonda is not your type any more. Maisha yake hauwezi kuyafikia