Clara Daud
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 542
- 273
si kwa kujikomba huko na uzee huo.- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kufeli kitu gani?alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Ushirika moshi Kilishawahi kua sehemu ya SUA,kama hujui bora ungenyamaza tuThanks!!
Nakifahamu hicho chuo (Chuo cha Ushirika). Sikuwa najua kifupi chake.
Ila masahihisho kidogo, Chuo hicho hakijawahi kuwa sehemu ya SUA ...... Bahati nzuri, mimi pia ni graduate wa SUA!!
Mh......wewe utakuwa umevimbiwa tafuta Mabenderzole itakusaidia alafu uje JF.Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Tatizo sio degree tatu....!ni uvivu wa kufikiri alionao.Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!
Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.
Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
kwenye red umepotea njiaKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
hahahaha...lol!Ujinga mzigo
Wadau atakayepata CV yake aongeze na hii: kashindwa kuilewa rasmu ya warioba!
Mkuu chukua like hapo.Makonda ana cv aliwahi kumpiga Jaji Warioba akazawadiwa ukuu wa wilaya na akamchongea mkurugenzi wa jiji akapata ukuu wa mkoa sasa nafasi ipi ngoja tuone