kaziPiga ondakazimhemnadhani zoezi la kupima afya mnazi mmmoja kwamba watanzaniwatanzania tunahitaji bima nafuu ya afya naomba ifanyie kiza, lakini nakupa big up!!! achana kusikiliza hao malofa.alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Wewe una wasifu gani-
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
- le Mutuz
Huyu wasifu wake ni kupokea 700*10Wewe una wasifu gani
Huyu wasifu wake ni kupokea 700*10
Pale Lumumba
Wamezeoa Kuongwa T-shirt na 2000Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!
Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.
Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
Huyo yuko kazini, kazi nyingine unajitoa akili ili uzifanye sawiaIli jamaa sijui huwa halikui lina mambo ya kitotoooo
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Anayejua historia ya makonda anijuze
usikurupuke dada yangu hajaulizia vyeti fake kauliza elimu yake.Kiwango cha elimu cha ninim sasa, coz angekua na vyeti feki uhakiki ungepita naye, lakin now yupo on work bado, means academic yake ni original and ipo okay kwa kulitumikia taifa...
Kule nimesaka sijaona. Ila najua wanajamvi hawawezi kosa.. Ngoja wachimbaji wajeIngia gugoooooo.... Hawatokuangusha wale jamaa.
Ila nyepesinyepesi zinasema chuo alikuwa kilaza muda wote kudesa na kubebwa na ma dr wa chuo kwenyr mitihani ili awahi kufanya siasa mitaani.
kubwabwaja sio uongozi mtu unaenda kwenye media kila dakika halafu unavyovitandaza wala huwezi kuvifanyia kazi aghrrrrrSalaam wakuu,
Nimekua nikifuatilia vizuri mno utendaji kazi wa makonda, kwa kweli kimsingi kwa matamko mbalimbali aliyokwisha yatamka, napata ukakasi kuhusu kiwango chake cha elimu
Kama kuna mwenye education background ya huyu kiongozi anijuze tafadhali.
Anaweza kuwa kazini but akawa anatenda yasiyoendana na elimu yake.Kiwango cha elimu cha ninim sasa, coz angekua na vyeti feki uhakiki ungepita naye, lakin now yupo on work bado, means academic yake ni original and ipo okay kwa kulitumikia taifa...