kondoomwema
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 241
- 201
matendo tu yanatujulisha ana cv ya aina ganiHello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!
Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.
Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
Umekurupuka usingizini kuchangia mada hii?!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Usikimbie hoja, toa cv ya makonda na hao wengine tulinganishe, wacha ngonjera hapa!-
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
- le Mutuz
Acha ujinga unatuletea picha za malaya wako huku hivi huwa wanajua kwamba uwa unawaanika huku JF?
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Mmmmmmmmmmmh- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Hahahahaha....duh
Ww ni kilazzzerCv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Huo siyo uungwana. Jibu gani hilo? Kama huna la kusema nyamaza. Hatuhitaji matusi humu JFOmba cv ya mama yako kwanza
We kweli RuttashobolwaKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Kila comment huwa inakuchekesha? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]- hahahahahahahahaa
le Mutuz
tena mzigo mzito kabisaUjinga mzigo
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana