Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
Siogopi Chochote!
January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.
Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.
Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.
Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!
NDIO KISHA KUWA NAIBU WAZIRI SASA
Ni kweli wengine channel zinawaokoa .Huwa mnaona mnaona nini kwa huyu mtu? Sijawahi kuona kitu na sitakaa nione kitu kwake.
Kuna wengine ni fungu la kupoteza tu, sema channel zinawaokoa.
Pro cdm ni wajuvi mno kushadadia cv za wenzao.. PINDI zikiwekwa za viongozi wao wanalia kwa mods thread ifungwe.. mara waliosoma wametufanyia nini
Siogopi Chochote!
January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.
Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.
Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.
Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!
Kwani Nchimbi na January nani zaidi kidogo?

Fedheha iliyopo ni fahari kwako na wenzako,ila siyo kwetu.
Kama una ushahidi tuwekee, tuache kuendeleza mapambio ya mitaani yanayoibuliwa na kuenezwa na watu waliokosa hoja za ushindani.
Ni kweli wengine channel zinawaokoa .
BEN,kumbe cv yako ni madame b.hahaha .swali mbowe alipata nn form 6 coz naona maelezo mengi huku swali umelielewa.be honest kuhusu mbowe na makamba
Jitu ambalo halijui wapi kutumia capital letters na small letters wala matumizi ya punctuation vizuri basi ni wazi hana jipya zaidi ya kujisifia. Hivi wewe kweli unaweza kujilinginasha na January Makamba?1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!
2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.
Dr.Slaa?Just be honest to yourself.
3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.
Siogopi Chochote!
January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.
Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.
Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.
Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!
This Forum seems to have officially been converted into a gossiping place. What's worse, those are supposed to preserve its reputation appear to either be fast asleep or are themseleves part of the campaign to destruct what was once the most credible and respectable site.
January Makamba didn't score Division 0 in his A-level final exams as the person who made this post attempts to make us believe. The truth is that he scored an impressive Division 1, with his headmaster decribing him as one of the most talented students his school had ever had. He even presented him with the job of teaching Geography at the school during the gap year, but January reportedly turned the offer down because he wanted to work at refugee camps.
It's hard to see what might have motivated anyone to post an information as maliciously wrong as this one. But it also raises concerns that moderators are doing nothing about it.
Mkuu pengine style ya uongozi wa mkuu wetu aliyeko sasa ndio imewavutia wengi hata kuona kama huyu kaweza wao watashindwa nini.JK amerahisisha sana hili swala la mtu kutaka kuwa rais... kesho unaweza sikia nae Nape anataka kuwa rais....