Kweli kabisa mkuu maana kama wewe siyo Bashite huwezi kumsapotiHalafu mkuu,cha kustaajabisha zaidi ni mwandiko wa hao watetezi wa Bashite,wote unafanana,lugha mkato. Hii ni ishara ya "birds of a feather flock together".
weka kwanza vyeti vyako tuvione, wengi wanaomtetea bashite nao walizungusha mayai.haaaHuwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Niongezee mkuu Mbowe yuko kwa matakwa ya wananchi na hana barua ya sizonje..Hana elimu yoyote ya darasani na hajanunua cheti....
Hizi Ni zama za BASHITEHuwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Kwa mantiki yake, kelele zote kuhusu elimu ya Mh. Makonda zinaachwa hazija"baniwa". Siyo kuweka yake au yako.umewahi kuuliza ya nani ukayapata? au umewahi kuyaweka yako hapa?
Najua unataka uhusishe matokeo na vyeti Feki, tambua matokeo na vyeti feki ni vitu viwili tofauti, Matokeo si dhambi bali kufoji vyeti baada ya matokeo mabaya ndiyo inakuwa dhambi, Mbona January makamba alipata zero form six hata Nape nae alipata Zero form four lakini kwa kuwa hawatumii vyeti feki Mbona hawakumbuki? Tambua kuwa aliyeanzisha Vita juu ya vyeti feki ni Magufuli mwenyewe na watu wengi wamefukuzwa kazi, wengine walikimbia wenyewe na wengine wana Kesi mahakamani iweje Makonda amiliki vyeti feki mjaribu kumtetea kwa mifano mingine ambayo haiendani na vyeti feki,Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Hana vyeti feki lakini hata kama unamjua tokea zamani kwani hakuna binadamu hana history hata boss wako Makonda kabla ya kuwa mjanja alikuwa kondakta kwenda daladala mwanza, hapa issue ni vyeti feki kama ni matokeo wapo ccm wengi wenye matokeo mabaya na ni mawaziri lakini kwa kuwa hawajafoji vyeti hakuna anayehangaika nao.Kwanza elimu yake akipata wakati gani? Maana mala ya kwanza kumjua Mbowe miss Tanzania 2006 alikuwa Dj tena muda mrefu tu kabla sijamjua.
Wewe ndiyo muongo kwa sababu mimi ni ndugu yake!ndugu mbona unakazana kwenye uongo. mimi nimesoma Ihungo na details za mbowe zipo pale high school na ukitaka kuthibitisha mkuu wa shule kwa sasa anaitwa mr Boneventure ata juzi shule ilipopata madhara ya tetemeko na kubomoka nadhani uliona speech yake mwenyewe baada ya kutembelea pale. Ukimuuliza mtu yeyote aliyesoma IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL ya bukoba atakwambia mbowe alikuwa anaishi ktk bweni linaloitwa Kenya hapo shuleni na alisoma HGE alifaulu kwa div -II points 11
Hauwezi kufutwa kwani wakifuta watakosa matokeo ya Nape na akina January makamba akina kibajaji msemaji wa CCM bungeni, kama CCM wanataka Watu waache vyeti wajikite kwenye matokeo ya kila Kiongozi wa CCM itakuwa Aibu kwani wengi matokeo yao ni hatari kinachofanyika wasihangaishwe ni kwa kuwa hawakufoji vyeti.Huu uzi utafutwa sasa hivi
ok wew ni sawa na yule lawyer ndugu yake na GwajimaWewe ndiyo muongo kwa sababu mimi ni ndugu yake!
Tupe matokeo ya Nape na January makamba ambao ni mawaziri.Wewe ndiyo muongo kwa sababu mimi ni ndugu yake!
Mbowe huyu wa chadema au DJ mbowe wa kigoma?Kwanza elimu yake akipata wakati gani? Maana mala ya kwanza kumjua Mbowe miss Tanzania 2006 alikuwa Dj tena muda mrefu tu kabla sijamjua.
Sema unachotaka, nitukane kama unataka lakini ukweli ndiyo huo, lakini jamaa Ali kuwa mjanja kwenye biashara na siasa! Alikuwa na kipaji cha kupendwa na watu!ok wew ni sawa na yule lawyer ndugu yake na Gwajima
mim siwez kukutukana ndugu ila naomba nkuulize mbowe O'level alisoma wapi na akapata 0 kama kweli ni ndugu yako?Sema unachotaka, nitukane kama unataka lakini ukweli ndiyo huo, lakini jamaa Ali kuwa mjanja kwenye biashara na siasa! Alikuwa na kipaji cha kupendwa na watu!
Nyumbu ni CCM kumbuka kwa kawaida Nyumbu huwa ni wengi kule mbugani hata CCM wengi huwa hawana kumbukumbu hawajui kuwa wao ndiyo Nyumbu Nchi miaka 50 haina maendeleo, Rais wa CCM katangaza vita juu ya vyeti feki mwenyewe cha ajabu mwenye vyeti feki ni msukuma mteule wake ameamua kushirikiana na Nyumbu CCM wenzake kuziba madikio hasikii haambiwi, nyinyi Nyumbu ccm warejesheni kazini wale wote waliofukuzwa kazi kwa makosa ya kumiliki vyeti feki maana CCM kwa sasa ni rusksa kumiliki vyeti feki.Ni mjanjamjanja tu wa hapa mjini kafeli na alitaga lkn Nyumbu wa ufipa watakaa kimya maana bwanaao kashikwa pabaya
January alisoma ICT Minnesota, naona Nape ni kama FreemanTupe matokeo ya Nape na January makamba ambao ni mawaziri.