Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Darasa lanonino ' f'
Mpiga disco maarufu,
Bush loya.
Politition muoga wa kushindwa uchaguzi n.k
 
Mbona watanzania mibinywa ngumu!!!! Hata kama ana Zero ni ya kwake hakufoji kama bashite!
 


Kwani naye anatumia jina la nani?Kama amekuibia jina lako tuambie ili tuanzishe shinikizo la kudai vyeti vyake kama tunavyofanya kwa tapeli wa taaluma Bashite.Vinginevyo utakuwa umechanganyikiwa kuanza kudai matokeo ya mtu bila kuwa na sababu yoyote ya kufanya hivyo.
 
Yaani wewe ndio umejiunga Leo jf kwa kusudi ya kutetea U Bashite?
Halafu mkuu,cha kustaajabisha zaidi ni mwandiko wa hao watetezi wa Bashite,wote unafanana,lugha mkato. Hii ni ishara ya "birds of a feather flock together".
 
Mjinga mkubwa wewe, usitake kutupotosha kwani Mbowe alinunua cheti? habali ya mjini mwambie Makonda yuko uhamishoni aonyeshe vyeti. o
 
KIBAHA ALISOMA O'LEVEL NA ALIPATA DIV- I, A'LEVEL ALISOMA IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL YA BUKOBA HGE ALIPATA DIV-II POINT 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…