Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Binafsi Mbowe nilisoma naye Ihungo, na mara ya mwisho tulikutana tena Ihungo katika kuchangia miundombinu ya shule, sina data zaid ya hapo
 
Nilijua tuu mtaanza kuimba Taarabu...![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tunataka CV ! Whatever it will be...

Elimu

Elimu

Elimu
CV YA MWENYEKITI.


CV ya freeman mbowe

Member of Parliament CV


GENERAL
Salutation
Honourable Member picture

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth


EDUCATION
SCHOOL NAME/LOCATION
COURSE/DEGREE/AWARD START DATE END DATE LEVEL
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL
 
Kwan Olesendeka ana cheo gani CCM?
Ata hivyo yeye ni bora kwakuwa alifaulu vizuri o-level kuliko mbowe alotumia jina la masikini a-level kwakuwa hata o-level alifeli pia.


Hahaha! Jamani mbona mnamuumbua kamanda mwenyekiti .
 
Acheni unafiki wenu ninyi watu, mbona ninyi huwa mnahoji Phd ya Rais wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli? Sasa na sisi tunataka kujua kiwango cha elimu cha Mbowe. Mleta mada umenifurahisha sana. Nikweli kabisa elimu ya Mbowe ni siri kubwa, but why?? Hii nchi bwana imejaa ujanja ujanja tu. Lakini ukweli utajulikana tu.
 
Ni rahisi kumpata ex classmate wa Kingunge Ngombale na si Mbowe.
Inawezekana shule zote alizosoma, wanafunzi wenzake na walimu pamoja na majengo, vilitoweka vyote kabisa kwenye uso wa dunia kama wale wanyama(dinosaurs) walivyotoweka. Ndio maana imekuwa vigumu kumpata classmate wake, mwalimu na shule aliyosoma. Baada ya kumaliza form 6 kila kitu kilitoweka akabaki yeye tu. Kwa hiyo hakuna haja ya kuangaika kutafuta historia ya elimu yake maana haitapatikana labda yeye tu mwenyewe aamue kueleza ukweli wa elimu yake.

Labda turudi nyuma kidogo, alipogombea urais sheria ya kuwa mgombea lazima awe na degree haikuwepo? Kama ilikuwepo aliruhusiwaje kugombea kama ni kweli hakuna historia ya elimu yake?
 


Mkuu watu wa CCM ni wajinga

waambie tu ameishia darasa la kwanza
 
Ikiwa ni kweli huyu Mh, hajaenda shule, basi tukubali tu ana kipaji kikubwa sana.
 
Ikiwa kuna mtu ana elimu ya juu lakini kwa uwezo ns matendo yake unatafsirika kama hakusoma kabisa au ana elimu ya chini basi ni afadhali kjmheshimu mwenye elimu ya chini anayetafsirika kw Uwezo na matendo yake kuwa amesoma sana kwani tunahitaji uwezo mkubwa kimatendo sio elimu ys nadharia
 
Nini lengo lako hasa? Je elimu yake inasaidia nini katika maisha ya leo?

Ni kweli elimu yakehaina umuhimu wowote ule....lakini kinachotafutwa hapa historia ya maisha yake kielimu na hasa kwa kuwa ni kiongozi...Ni muhimu historia ya elimu yake iwekwe wazi....
 
Aliyekwenda shule huwa anajibu swali na si kubwabwanya upuuzi..
Aliyekwenda shule huwa anafocus kwenye kwenye maisha yake mwenyewe na jinsi ya kuyaendesha na kupata mafanikio ya mipango aliyojiwekea na sio kumchunguza jirani yake, kumchunguza jirani yako maisha yake ni dalili za udhoofu wa fikra na uoga wa kushindwa kimafanikio au kimaendeleo na jirani yako.
 
Hapa sitii mukichwa-majeshi yanapambana. Mtu anataka kujua lakini anaonyesha analake kwani ana andika mengi ya kesemekana au anasema anajua. Sasa unajiuliza kama anajua anataka ya nini? Upande wapili wanasema hawaoni umuhimi wa CV ya kiongozi wao kujulikana. Najiuliza tu huyu ni kiongozi wa umma kwa nini CV yake au kisomo chake kiwe tatizo kufahamu? Cha kushangaza zaidi ni pale BUNGE linapoweka CV vipande vipande au zilizopitwa na wakati. Endelezeni mapambano!!!
 
Mafanikio yake kibiashara na Kisiasa yanatosha, na kama ni Lugha ya malikia anaongea vema kuliko Mtukufu au Mungu wa Wana CCM (Makonda) infact ameprove yupo vema na hatuhutaji mivyeti.
Sasa nyie vijana wa Lumumba tuambieni Vyeti vyenu vimewasaidia nini!? na mna kipi cha kutuonesha!?
 
Kwan Olesendeka ana cheo gani CCM?
Ata hivyo yeye ni bora kwakuwa alifaulu vizuri o-level kuliko mbowe alotumia jina la masikini a-level kwakuwa hata o-level alifeli pia.
Fikra zangu zinapata mkanganyiko hapa, kumbe majibu ya maswali yaliyowekwa kwenye mada hii tayri mshayatengeneza, kwanini muulize tena, mngeandika tu mnayoyajua kama mnauhakika.
 
Kaomba kudahiliwa chuko kikuu?
 
Mimi nataka nijue historia ya ndoa ya baba jesca na mama jesca kama hutojali mkuu!
Kwa hiyo historia ya ndoa muhimu kuliko elimu? Pole sana kwa kushikiwa akili na Mbowe! tena amewaweza maana anawatumia anavyotaka!
 
Kuna Tofauti ya Kujua kwamba flani amesoma na kujua mtu kwamba kweli ana PHD!!! Mbowe alisema ana elimu gani kwani? JPM ni Dr wa Falsafa,Je hiyo PHD ni ya kweli? Wewe unauliza Elimu ya mbowe na ndio maana tunakuuliza na wewe una elimu gani? Kwani Mbowe alisema ana elimu ya form four ,six,degree,masters,phd au prof?
 
Tuangalie zaidi Performance na cyo umiliki wa makaratasi yanayoitwa CV.NEWTON na ALBERT ENSTEIN Walifanya mambo makubwa sana na ya kukumbukwa vizazi na vizazi ktk Dunia hii japo elimu yao hata degree moja tu hawakuwa nayo, Tz tuna mtu tunayemuita kuwa ni msomi( PROF LIPUMBA) lkn mambo anayoyafanya ni ya kishenzi kiasi kwamba hata mtu wa darasa la saba hawezi kuyafanya.
Ndugu zangu haya makaratasi yanayoitwa Certificates tuwe nayo tu kadri kila mtu atakavyoona inafaa ila performance ya mtu katika Kazi yake ndo kitu cha muhimu zaidi.
SHIVIJI, LIPUMBA,MAGEMBE na KAPUYA Wote hawa ni ma Professor lkn performance zao zinatofautiana kwa kiasi kikubwa mno.
Uelewa wa mambo wa shivji uko juu mno ukilinganisha na ule wa LIPUMBA.
Kwa hiyo jamani tusipotoshwe na haya makaratasi.
Katika history ya Tanzania, kwa wenyeviti wa vyama vya siasa walioongoza vyama vyao kwa mafanikio makubwa ni NYERERE na MBOWE tu.Wenye timamu zao watakuwa wameelewa ila wale washabiki kamwe hawatakaa waelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…