Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,084
Leo nilikuwa napitia CV za wabunge wetu katika website ya Bunge Bahati mbaya nilipo msearch Mbowe ili nijionee Education background yake na Mambo mengine ya Kiuongozi nikaona Iko empty kabisa! Sasa najiuliza ni yeye hajapeleka CV. yake au yule anae manage Website ya Bunge alisahau kuiweka? Haina tarehe ya kuzaliwa,wala namba yake ya simu wala anuani yake!
Naombeni ufafanuzi kidogo
Mbowe ana mshiko, pesa mbaya ambayo utakufa hujawahi pata.Halafu nyumbu badala ya kumhoji mwenyekiti wao kwanza wanakuja kuzungusha mikono huku!!
Ndio maana unamsujudia mithili ya NyumbuMbowe ana mshiko, pesa mbaya ambayo utakufa hujawahi pata.
Akili zako fupi sana kama maisha ya funza... mada iliyoanzishwa ilikuwa inahusu nini... mbowe kafanya mangapi na yanaoneka?? Huyu demu wemu ndo mnataka kumlinganisha na mbowe... shutup....acha kujivua nguo kwa upuuzi huu wa kumfanisha mbowe na huyu demu wenu.Bavicha wameanzisha vita ya mawe wakati wana nyumba za vioo kwi kwi kwi
Pesa za kuuza Chama umezihesabia?Mkuu wakati watu wanahangaika na degree Mbowe alikuwa anatafuta pesa, na akafanikiwa kitu kibaya kabisa kwa binadamu ni kuwa shule huna, hela huna, hata akili huna kama walivyo vijana wengi wa lumumba, hamkupata bahat ya kwenda shule, pesa hamkutafuta, kibaya zaidi akili hamna kila siku mnageuzwa mawazo na watu walioshindwa karibu miaka 60 na mnakubali tu. Mbowe ana pesa ambazo unaweza kufa hujawahi pata. Dunia hii either uwe na elimu au uwe na pesa basi.
Sasa kama hana cha kuweka unataka afanyeje? Alipoulizwa kuhusu elimu akasema ana Primary Education tu. form Four alipata zero. Kuhusu Work Experience akasema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwa DJ pale Bilicanaz.
Leo hii tukiwapa mtihani kati ya Agness na Mbowe na Lema na Kubenea na Sugu unadhani nani ataongoza?Akili zako fupi sana kama maisha ya funza... mada iliyoanzishwa ilikuwa inahusu nini... mbowe kafanya mangapi na yanaoneka?? Huyu demu wemu ndo mnataka kumlinganisha na mbowe... shutup....acha kujivua nguo kwa upuuzi huu wa kumfanisha mbowe na huyu demu wenu.
Ww unaemdharau, Mbowe ameajiri watu, wanaishi maisha mazuri tu hapa mjini kwa sababu ya kazi za mikono yake. Sasa mwenzangu na mm masikin, kanjanja, asiye na mbele wala nyuma una question elimu yake, how, hiv hamjui kuwa successful entrepeneurs huwa wanakuwa awarded degrees, sababu practically wame demonstrate elimu bila kupitia shule formal, nyie watu mnajua nin dunian hapa.Ndio maana unamsujudia mithili ya Nyumbu
Aaaah mkuu tuna mengi sana ya kuongea,juu ya wanasiasa wa tz ila sasa MODS ndio tatzo mimi nikichangia mada ya siasa BAN inakuja bila ubishi
Hahahaaaaa...!!mkuu hatare asee umeamua kabisa kumwaga mboga
Weka ya kwako, ya baba yako, ya mama yako, ya ndugu zako tuone vile vile! Unamshupalia Mbowe tu. Sidhani kama niliowataja hao upande wako wana madgree, yet wamekuzaa na wamekufikisha hapo ulipo na una post humu JFVIJANA WA CHADEMA LETENI NA MATOKEO YA FORM SIX YA MWENYEKITI WENU MBOWE KAMA MNAJIAMINI KWELI.
Ni muda mrefu sasa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ialishashindwa kuwasilisha CV yake ili iwekwe katika Tovuti ya Bunge. MBOWE mara kwa mara amekuwa anaficha CV yake kwa sababu ni mbovu sana, Baada ya kumaliza Form six Pale Ihungo Boys Secondary School Alipata division zero.Baada ya kufeli Form six ndipo alipoamua kuanza kazi ya UDEEJAY katika Klabu ya Baba yake ijulikanayo kama BILICANAS CLUB, kwa hiyo tunapomwita Mbowe kwamba ni DeeJay Zero nadhan mtakuwa mmeelewa nini maana yake.
Ni CHADEMA pekee ndicho chama kinachoongozwa na mwenyekiti Form six failure.
Mbona ya ole sendeka mlivumiliwa inakuaje leo mnakua wakali?Weka ya kwako, ya baba yako, ya mama yako, ya ndugu zako tuone vile vile! Unamshupalia Mbowe tu. Sidhani kama niliowataja hao upande wako wana madgree, yet wamekuzaa na wamekufikisha hapo ulipo na una post humu JF
Weka ya baba na mama yako tuanzie hapo. Mvuto hauletwi na CV bali utendaji. Nina uhakika CV za wazazi wetu siyo nzuri kisomi mbona tuna mvuto nao. Acha ujingaHabari makamanda , mwezi ujao vyuo vingi hapa Dodoma tutafunga vyuo lakini kama mjuavyo , sisi vijana wasomi makamanda tunamkubali sana kamanda wa Anga Mh Mbowe , hivyo tu naomba kwa wajuvi hasa mlioko pale ufipa na n.k mtusaidie , kwani tu naamini CV , Ni moja ya uweledi katika uongozi
Tunafahamu , viongozi wengi wa kiserikali au kivyama CV zao Ni mvuto kwa wafuasi wanaowaongoza ,
CC: Chakaza, Mingoi, Mmawia, Yericko Nyerere, Ben Saanane , BAK , n.k
Natanguliza shukrani